Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously noteTatizo la tangazo lako Picha,
Picha za ndani ya gari hakuna ,ubavuni mbele nyuma za gari HAUKUNA AU NI CHACHE SANA.
IMEAMBIWA WEKA PICHA ZA KUTOSHA LAKINI UMEGOMA.
HAYA ENDELEA KUWEKA PICHA ZA KIBAJIRI KAMA UTAPATA WATEJA KWA HARAKA.
UJUE WENGINE WAPO MIKIANI ,PICHA INAWEZA KUMVUTA AKASAFIRI AU akaja inbox baada ya kuona picha NYINGI KUTOSHA ZA TANGAZO ZA Magari yako na zikamvutia akaja mwenyewe.Sasa wewe unaweka picha moja tu unawezaje kumvutia mteja aliyeko mbali? Mbaya zaidi hata PICHA ZA NDANI YA GARI HUWEZIWEKI ILI MTU AVUTIWE HATA NA PICHA ZA NDANI NAZO PIA HUWEKI!!!!!
IMEAMBIWA LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA!!!!
Sasa ntakuomba picha ngap, maaana ni usumbuf. Picha za magar ni nyingiMbona wanakuja wengi tu kuomba picha za ziada inbox na wanapewa na biashara zinafanyika kaka!!!!
Mteja serious huwa haishii hapa hata siku moja lazima atachukua hatua