Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu fisi usife moyo fight mchana na usiku ipo siku mambo yatajipa.Daaaah roho inaniuma, tatizo mtonyo ndugu Dalali
Kila mtanzania ana uhuru wa kutoa maoni yake, umetumia uhuru wako wa kikatiba kiongozi.Tatizo lenu mnachokonoa hizo gari na kupunguza kilo mita elizo tembea huwezi kua na gari ilikuja second hand kutoka Japan imeendesha tz miaka mitano na bado ikawa na km 50000, uongo mtupu, mjifunze biashara za ukweli ili watu wawamini, uongo uongo haukuzi biashara.