wewe mkuu upo Songea hapo biashara ya mazao kama maharage na mahindi yanapatikana kwa bei poa,hakuna mtu anayepaki sembe hapo Songea,nunua vifungashio kadhaa anza kununua mahindi yasage funga sembe na uuze hapo hapo Songea.
Fikiria mahindi hapo ni bei poa ila sembe ipo juu sana.Acha uvivu fanya kazi utengeneze ajira kwa wenzako.