Kisima cha pesa

Kisima cha pesa

Tyegelo

Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
29
Reaction score
2
Niko Songea, nina 2.5m mkononi. Nifanye biashara gani ili nami baadaye niwe kama akina fulani? Wazo lako litanifanya nipate kisima cha pesa, nibaki nikichota tu. Tafadhali nishaurini wakuu.
 
Kafanye biashara ya dhahabu mbinga(mpepo)
 
Kwanza kabisa acha ndoto za kupata utajiri wa haraka haraka. Mbili idea yoyote katika zama hizi za miaka ya maendeleo inalipa.
 
Kwanza kabisa acha ndoto za kupata utajiri wa haraka haraka. Mbili idea yoyote katika zama hizi za miaka ya maendeleo inalipa.

Vijana wengi wanaotaka kufanya biashara huwa hawafikii malengo kwa kudhani watakua matajiri "overnight",kwwa kawaida inaweza kuchukua biashara miaka hata mitatu kukupa faida,na inaweza pia ikakuchukua mwaka,au pengine hata miaka kumi,kazi ni kwako mwenyewe,inabidi ukomae tu.
 
wewe mkuu upo Songea hapo biashara ya mazao kama maharage na mahindi yanapatikana kwa bei poa,hakuna mtu anayepaki sembe hapo Songea,nunua vifungashio kadhaa anza kununua mahindi yasage funga sembe na uuze hapo hapo Songea.
Fikiria mahindi hapo ni bei poa ila sembe ipo juu sana.Acha uvivu fanya kazi utengeneze ajira kwa wenzako.
 
nimependa ushauri wenu..........lkn bado tunakaribisha ushauri.
 
Back
Top Bottom