mohame kholani
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 145
- 103
0712430116Weka sasa mawasiliano ili wadau wakucheck,sasa hayo malipo ya mwezi tutakua tunalipia wapi?,au hao Canal wanaofisi hapa Tz?
unapatikana wapi mkuu.0712430116
asante kwa masahihisho
nipo dar mwambaunapatikana wapi mkuu.
umeelezea vzry sanaa mimi nipo Tanzania na burundi nawatu wang wakala wa kule nawasiliana naye mda wowote niwatoe hofuCanal hawana ofisi sehemu yoyote hapa Tz na kisimbuzi chao hakijasajiriwa na mamlaka (TCRA) hapa Tz hivyo kinatumika tu kwa kuwa kipo nchi jiran za Rwanda, Burundi na DRC na mawasiliano yake yanafika Tz (wenyewe wataalam wanaita beam kitu kama vile)
Harafu lugha rasmi ya chanel za kisimbuzi hiki ni Kifaransa na hakina option ya kubadili lugha, pia kwa kuwa hakipo Tz (yaani hakijasajiriwa TCRA) malipo yake yapo kwa franca fedha hii inatumika DRC, Burundi na Rwanda hivyo ukitaka kulipia ni mpaka upate connection ya mtu wa nchi hizo kisha umtumie pesa akulipie akiwa huko, hapa kuna shida kidogo ikitokea kifurushi kimekata harafu unaemtumia kukununulia hapatikani at the moment
Ila kwa ujumla kisimbuzi kipo vizuri ukicompare pesa na idadi ya ligi wanazoonesha yaanikwa elfu 40 na kitu unatizama karibu ligi zote kubwa duniani, wakati Dstv kwa elfu 69 hata UEFA champions league huipati
Ina channel zenye movie za kiingereza mkuu?au ni kifaransa tu?umeelezea vzry sanaa mimi nipo Tanzania na burundi nawatu wang wakala wa kule nawasiliana naye mda wowote niwatoe hofu
Ina channel zenye movie za kiingereza mkuu?au ni kifaransa tu?
Asante mkuu.Zipo za Movies za kiingereza, na nyingine ni French ila unaweza badili lugha (Movies tu).
Jamaa kakujibu vzry hapa shukranZipo za Movies za kiingereza, na nyingine ni French ila unaweza badili lugha (Movies tu).
Hiyo 135, 000 na dish lake? au ni decoder tu, na hizo ligi kwa msimu wa 2021/2022 wana haki ya matangazo?na kama nahitaji malipo yanafanyika baada au kabla ya kupata mzigo kwa watu wa dar?Mwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck
Bei full set ni Tsh.135,000
kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000
Kinaonesha League za
-UEFA
-UEROPA
-PRIMER LEAGUE
-BUNDASLIGA
-SPAIN LA LIGA
-ITALY
-FA CUP
Canal hawana ofisi sehemu yoyote hapa Tz na kisimbuzi chao hakijasajiriwa na mamlaka (TCRA) hapa Tz hivyo kinatumika tu kwa kuwa kipo nchi jiran za Rwanda, Burundi na DRC na mawasiliano yake yanafika Tz (wenyewe wataalam wanaita beam kitu kama vile)
Harafu lugha rasmi ya chanel za kisimbuzi hiki ni Kifaransa na hakina option ya kubadili lugha, pia kwa kuwa hakipo Tz (yaani hakijasajiriwa TCRA) malipo yake yapo kwa franca fedha hii inatumika DRC, Burundi na Rwanda hivyo ukitaka kulipia ni mpaka upate connection ya mtu wa nchi hizo kisha umtumie pesa akulipie akiwa huko, hapa kuna shida kidogo ikitokea kifurushi kimekata harafu unaemtumia kukununulia hapatikani at the moment
Ila kwa ujumla kisimbuzi kipo vizuri ukicompare pesa na idadi ya ligi wanazoonesha yaanikwa elfu 40 na kitu unatizama karibu ligi zote kubwa duniani, wakati Dstv kwa elfu 69 hata UEFA champions league huipati
Mbona kifurushi tunalipa kwa 42,000 tuMwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck
Bei full set ni Tsh.135,000
kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000
Kinaonesha League za
-UEFA
-UEROPA
-PRIMER LEAGUE
-BUNDASLIGA
-SPAIN LA LIGA
-ITALY
-FA CUP
Hivi mkuu bei halisi, ya kununua decoder na malipo ya mwezi ili kuona mechi zote ni bei gani?kwani hata sielewi kila mtu ana bei zake!!na ukihoji sana mnakosana!!yaani inakuwa vita!!Mbona kifurushi tunalipa kwa 42,000 tu
bei ni decoder ni Tsh.135,000Hivi mkuu bei halisi, ya kununua decoder na malipo ya mwezi ili kuona mechi zote ni bei gani?kwani hata sielewi kila mtu ana bei zake!!na ukihoji sana mnakosana!!yaani inakuwa vita!!
Haiwezekani kulupia kupitia website yao?Canal hawana ofisi sehemu yoyote hapa Tz na kisimbuzi chao hakijasajiriwa na mamlaka (TCRA) hapa Tz hivyo kinatumika tu kwa kuwa kipo nchi jiran za Rwanda, Burundi na DRC na mawasiliano yake yanafika Tz (wenyewe wataalam wanaita beam kitu kama vile)
Harafu lugha rasmi ya chanel za kisimbuzi hiki ni Kifaransa na hakina option ya kubadili lugha, pia kwa kuwa hakipo Tz (yaani hakijasajiriwa TCRA) malipo yake yapo kwa franca fedha hii inatumika DRC, Burundi na Rwanda hivyo ukitaka kulipia ni mpaka upate connection ya mtu wa nchi hizo kisha umtumie pesa akulipie akiwa huko, hapa kuna shida kidogo ikitokea kifurushi kimekata harafu unaemtumia kukununulia hapatikani at the moment
Ila kwa ujumla kisimbuzi kipo vizuri ukicompare pesa na idadi ya ligi wanazoonesha yaanikwa elfu 40 na kitu unatizama karibu ligi zote kubwa duniani, wakati Dstv kwa elfu 69 hata UEFA champions league huipati
Ina maana ni bila dish!! na mtu akikihitaji mfano nipo dar, nakipataje, je malipo ni kabla ya kupata mzigo au baada??hii ndio hatua muhimu sana.bei ni decoder ni Tsh.135,000
malipo kwa mwezi ni Tsh.55,000 mechi zote hapo league zote kubwa duniani UEFA,EPL,BUNDASILIGA,ITALY,FRANCE LEAGUE,LA LIGA.