mohame kholani
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 145
- 103
- Thread starter
-
- #21
hiyo full set kaka ukitaka decod tu tunauza kwa laki moja malipo kabla ya kupata mzigo mimi nafanya kazi Burundi na dar kila wiki nakuja hukuIna maana ni bila dish!! na mtu akikihitaji mfano nipo dar, nakipataje, je malipo ni kabla ya kupata mzigo au baada??hii ndio hatua muhimu sana.
Ina maana hapo kwenye 135, 000 unaongeza na hiyo ada ya mwezi huo, ili kiwe kimefunguliwa kabisa?au kwa mwezi wa kwanza kinakuwa na offer ?hiyo full set kaka ukitaka decod tu tunauza kwa laki moja malipo kabla ya kupata mzigo mimi nafanya kazi Burundi na dar kila wiki nakuja huku
Tsh.135,000 ni decoderIna maana hapo kwenye 135, 000 unaongeza na hiyo ada ya mwezi huo, ili kiwe kimefunguliwa kabisa?au kwa mwezi wa kwanza kinakuwa na offer ?
Kisimbuzi 135,000 bila dishi na malipo kwa mwezi ni 42,500/= swali pingine kama lipoHivi mkuu bei halisi, ya kununua decoder na malipo ya mwezi ili kuona mechi zote ni bei gani?kwani hata sielewi kila mtu ana bei zake!!na ukihoji sana mnakosana!!yaani inakuwa vita!!
Hiyo 55000 mbona mnapiga cha juu sana, malipo ni 42,500 kwa mwezibei ni decoder ni Tsh.135,000
malipo kwa mwezi ni Tsh.55,000 mechi zote hapo league zote kubwa duniani UEFA,EPL,BUNDASILIGA,ITALY,FRANCE LEAGUE,LA LIGA.
Ukinunua dikoda unapata ofa ya kifurushi mwezi mmoja bureIna maana ni bila dish!! na mtu akikihitaji mfano nipo dar, nakipataje, je malipo ni kabla ya kupata mzigo au baada??hii ndio hatua muhimu sana.
Tsh.135,000 ni decoder
Tsh.55,000 ni kufungua uwanze kuona channel
Total ni Tsh.185,000 unaanza kuona channel kabisa.
Ukitaka decoder tu Tsh.100,000 Tsh.55,000 kufungua decoder kwa mwezi yaani ndio malipo kwa mwezi hapo hiyo Tsh.55,000 channel zote za mpira unapata.
sasa tumia akili unalipaje kule ukiwa huku? gharama zawe kulipia hiyo 42k kama unamtu sawa lipa sijakuzuiaWizi huu
sasa tumia akili unalipaje kule ukiwa huku? gharama zawe kulipia hiyo 42k kama unamtu sawa lipa sijakuzuia
Hizo kauli za kike mwamba acha kabisa hiyo michezoPovu
PovuHizo kauli za kike mwamba acha kabisa hiyo michezo
umeeleweka mkuu, unapatikana wapi?kama nikikihitaji nipo darKisimbuzi 135,000 bila dishi na malipo kwa mwezi ni 42,500/= swali pingine kama lipo
Mimi sio wakala wala siuzi ila ni mtumiaji mzuri wa Canal na nipo kwenye group la Canal huko telegram, hivyo jamaa wanakutumia mzigo popote ulipo Tanzaniaumeeleweka mkuu, unapatikana wapi?kama nikikihitaji nipo dar
Unaweza kunipa hiyo link mkuu hata kwa pm?Mimi sio wakala wa siuzi ila ni mtumiaji mzuri wa Canal na nipo kwenye group la Canal huko telegram, hivyo jamaa wanakutumia mzigo popote ulipo Tanzania
Mimi sio wakala wa siuzi ila ni mtumiaji mzuri wa Canal na nipo kwenye group la Canal huko telegram, hivyo jamaa wanakutumia mzigo popote ulipo Tanzania
Nimeshakupa details mzeeUnaweza kunipa hiyo link mkuu hata kwa pm?
Jamaa mwizi afu anakuwa mkaliDaah!! Jamaa unataka kuwapiga watu, mbona malipo ni 42,500 kwa mwezi?
mwamba nimekuwa mwizi tena mara hii?Jamaa mwizi afu anakuwa mkali
sijakata mwamba nimeweka hivyo na angalia juu kabisa nimepost na posters za cannal kabisa nasio malipo yangu walio fanya kazi namimi wanajuaDaah!! Jamaa unataka kuwapiga watu, mbona malipo ni 42,500 kwa mwezi?