INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

Ina maana ni bila dish!! na mtu akikihitaji mfano nipo dar, nakipataje, je malipo ni kabla ya kupata mzigo au baada??hii ndio hatua muhimu sana.
hiyo full set kaka ukitaka decod tu tunauza kwa laki moja malipo kabla ya kupata mzigo mimi nafanya kazi Burundi na dar kila wiki nakuja huku
 
hiyo full set kaka ukitaka decod tu tunauza kwa laki moja malipo kabla ya kupata mzigo mimi nafanya kazi Burundi na dar kila wiki nakuja huku
Ina maana hapo kwenye 135, 000 unaongeza na hiyo ada ya mwezi huo, ili kiwe kimefunguliwa kabisa?au kwa mwezi wa kwanza kinakuwa na offer ?
 
Ina maana hapo kwenye 135, 000 unaongeza na hiyo ada ya mwezi huo, ili kiwe kimefunguliwa kabisa?au kwa mwezi wa kwanza kinakuwa na offer ?
Tsh.135,000 ni decoder
Tsh.55,000 ni kufungua uwanze kuona channel
Total ni Tsh.185,000 unaanza kuona channel kabisa.
Ukitaka decoder tu Tsh.100,000 Tsh.55,000 kufungua decoder kwa mwezi yaani ndio malipo kwa mwezi hapo hiyo Tsh.55,000 channel zote za mpira unapata.
 
Hivi mkuu bei halisi, ya kununua decoder na malipo ya mwezi ili kuona mechi zote ni bei gani?kwani hata sielewi kila mtu ana bei zake!!na ukihoji sana mnakosana!!yaani inakuwa vita!!
Kisimbuzi 135,000 bila dishi na malipo kwa mwezi ni 42,500/= swali pingine kama lipo
 
Search Canal+ makao makuu burundi huko Telegram utajiunga hutojutia, ukijiridhisha nunua
Mimi sio wakala wa siuzi ila ni mtumiaji mzuri wa Canal na nipo kwenye group la Canal huko telegram, hivyo jamaa wanakutumia mzigo popote ulipo Tanzania

556009A6-B307-451F-BC38-4ACB017D1D6D.jpeg
 
Daah!! Jamaa unataka kuwapiga watu, mbona malipo ni 42,500 kwa mwezi?
sijakata mwamba nimeweka hivyo na angalia juu kabisa nimepost na posters za cannal kabisa nasio malipo yangu walio fanya kazi namimi wanajua
 
Back
Top Bottom