mohame kholani
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 145
- 103
- Thread starter
-
- #81
English pack Tsh ngap?Mzigo wa Cannal bado upo Wateja wangu
Decodar Tsh.150,000
Kina offer ya mwezi mzima
Na tutaonesha world Cup 2022
Kwa mechi zoteView attachment 2421789
View attachment 2421790
English pack Tsh ngap?
channeli nyingine ni zipi mkuu, mfano movie mozik cartoon etc... na vipi ulipaji wake hausumbui? installation je?Mwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck
Bei full set ni Tsh.135,000
Kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000
Kinaonesha League za
-UEFA
-UEROPA
-PRIMER LEAGUE
-BUNDASLIGA
-SPAIN LA LIGA
-ITALY
-FA CUP
Inawezekana hauijui vzr hyo canal, lugha ni kifaransa ndio haujui kam kuna English Package kweny hvyo visimbuzi ndio unapata channel za dstv 3 za mpira.Sina english pack bro
Hivi nilivyo kuwa navyo ni kwa lugha ya Kifaransa
Karibu sanaa
Mbona watu tunalipia vzr tu na hakuna shida wapo waaminifu katika hao wanaoviuza.Shida ya canal ni lugha na ulipaji wake.
Inawezekana hauijui vzr hyo canal, lugha ni kifaransa ndio haujui kam kuna English Package kweny hvyo visimbuzi ndio unapata channel za dstv 3 za mpira.
Kweny hlo pango au pic uliyotuma haujaona pale kuna english pack.
channeli nyingine ni zipi mkuu, mfano movie mozik cartoon etc... na vipi ulipaji wake hausumbui? installation je?
Kikiwa full bei gani?
Nikiwa na Dish la Azam naweza kutumia king'amuzi cha Canal? Signal zitakubali..vipi kuhusu smart LNBSawa nitarudi kumshawishi mteja.
Dish lolote linakubaliNikiwa na Dish la Azam naweza kutumia king'amuzi cha Canal? Signal zitakubali..vipi kuhusu smart LNB
Nikiwa na Dish la Azam naweza kutumia king'amuzi cha Canal? Signal zitakubali..vipi kuhusu smart LNB
Asante sanaUnatumia dish lolote kufunga na mahali popote bila shida yeyote
Karibu nikuhudumie
Hujui kuwa kisheria kutumia canal+ Tz ni halamu? Hahaaaa, japo kwa sasa naona hata itv, azam, tbc zimo!!Nyie mawakala wa canal mliopo humu kuwen wajanja na msipende hela tu
Hebu wasilianeni na hao matajili wenu ili waanze kuweka uchaguz wa lugha katika subtite zao na hakika wakifanya hivo bas dstv tutawapoteza mazina mana hapo lugha itakuwa inaeleweka
Fanyeni hima au labda kama mnavipata kwa hila,
Niwewapa dili hilo
kama ni haram hizo tv zimeingiaje sasaHujui kuwa kisheria kutumia canal+ Tz ni halamu? Hahaaaa, japo kwa sasa naona hata itv, azam, tbc zimo!!
Kama ungekuwa una ufahamu hata kidogo wa haki za tv usingeuliza hili swali!! Kuna chaneli hasa za mpira zinazoonyesha ligi mbali mbali duniani(epl, uefa na europa) kwa Tz ni dstv pekee ndio mwenye haki hiyo. CANAL+ naye ana mipaka yake hasa nchi zinazozungumza kifaransa.kama ni haram hizo tv zimeingiaje sasa