INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

Mzigo wa Cannal bado upo Wateja wangu
Decodar Tsh.150,000
Kina offer ya mwezi mzima
Na tutaonesha world Cup 2022
Kwa mechi zote
25a8e7f3-5abd-49f4-a474-6970f84cd3bb.jpg

IMG_0682.jpg
 
Mwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck

Bei full set ni Tsh.135,000

Kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000

Kinaonesha League za

-UEFA

-UEROPA

-PRIMER LEAGUE

-BUNDASLIGA

-SPAIN LA LIGA

-ITALY

-FA CUP
channeli nyingine ni zipi mkuu, mfano movie mozik cartoon etc... na vipi ulipaji wake hausumbui? installation je?
 
Sina english pack bro
Hivi nilivyo kuwa navyo ni kwa lugha ya Kifaransa
Karibu sanaa
Inawezekana hauijui vzr hyo canal, lugha ni kifaransa ndio haujui kam kuna English Package kweny hvyo visimbuzi ndio unapata channel za dstv 3 za mpira.
Kweny hlo pango au pic uliyotuma haujaona pale kuna english pack.
 
Asante kwa ufafanuzi kaka shukran pia
 
channeli nyingine ni zipi mkuu, mfano movie mozik cartoon etc... na vipi ulipaji wake hausumbui? installation je?

Channel ni nyingi zime base kwa Lugha ya kifaransa
Channel za cartoon zipo pia kwa kifaransa
Ulipaji wake mimi mwenyewe ndio nashughulikia hilo kwa mwezi ni Tsh.45,000 ambapo channel zote za mpira zinazo onyesha ligi kubwa duniani zipo
Package za channel zote 500 ni Tsh.90,000 ambapo kuna hizo channel za Dstv 3. Kwa lugha ya English
Karibu sana nikuuzie
Simu:-0712 430 116
 
Nyie mawakala wa canal mliopo humu kuwen wajanja na msipende hela tu

Hebu wasilianeni na hao matajili wenu ili waanze kuweka uchaguz wa lugha katika subtite zao na hakika wakifanya hivo bas dstv tutawapoteza mazina mana hapo lugha itakuwa inaeleweka

Fanyeni hima au labda kama mnavipata kwa hila,
Niwewapa dili hilo
 
Hujui kuwa kisheria kutumia canal+ Tz ni halamu? Hahaaaa, japo kwa sasa naona hata itv, azam, tbc zimo!!
 
kama ni haram hizo tv zimeingiaje sasa
Kama ungekuwa una ufahamu hata kidogo wa haki za tv usingeuliza hili swali!! Kuna chaneli hasa za mpira zinazoonyesha ligi mbali mbali duniani(epl, uefa na europa) kwa Tz ni dstv pekee ndio mwenye haki hiyo. CANAL+ naye ana mipaka yake hasa nchi zinazozungumza kifaransa.
 
Mzigo mpya wa Canal Plus umefika...
Decorder tupu bila kifurushi 100k tu
Kifurushi cha mwezi ni 55k
0629439450
20231119_193927.jpg
 
Back
Top Bottom