Kisingizio 'Maalum' cha Kufungwa Tunisia Jumapili tumeshakipata

Kisingizio 'Maalum' cha Kufungwa Tunisia Jumapili tumeshakipata

Ugali wa ngano . All the Best to our champs
 
Ata mechi ingechezwa kwenye Friji Ili mradi ndani ya Africa sisi ni Young Africa popote apa Africa ni wenyeji. Nembo yetu yenye Alana ya Bara la Africa ki roho inaonyesha sisi popote ni wenyeji kuliko wenyeji wenyewe.
 
Yanga iliwatoa waarabu kuingia makundi tena kwao hivyo Mimi Sina hofu Yanga tunashinda Kama kawaida ya unbeaten team. Natabiri Musonda ata shine!
 
Back
Top Bottom