Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Sina uchumi napambana na hali yangu.

Uchumi mdogo unaowazungumzia wewe tuchukulie mtu ana ugali na dagaa, hela ya kununua unga unanunua viazi au mihogo unakula na dagaa.

Ni vile wabongo tumekalili ugali, wali.
Kwani ugali na wali una shida gani? Mwili unahitaji wanga. Tatizo mnakula ugali au wali mwingi halafu mnakaa kwenye viti hadi jioni. Sasa mmachingq kama mimi nazurula mchana kutwa nikila ugali au wali unafikiri utaniletea shida?
 
Ugali mkubwa, mboga kidunchu no matunda no maji mengi chakula hakina nyuzinyuzi shida lazima iwepo isipokua magonjwa utaambulia hata choo kigumu
 
Sababu, propaganda ni nyingi sana, almost kila kitu duniani unaambiwa ni kibaya...
Hakika yaani mpaka saa ingine unachanganyikiwa ule kipi na kipi uache.

Mi kwangu natembea na hii ya kula kwa kiasi. Sichagui chochote nakula ila sili ileee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…