Ugali mkubwa, mboga kidunchu no matunda no maji mengi chakula hakina nyuzinyuzi shida lazima iwepo isipokua magonjwa utaambulia hata choo kigumu
Safi sana...Sichagui chochote nakula ila sili ileee.
Enkoko
Nataka kuachana na sukari kwenye chai....huko katika vinywaji kitambo sana nishaachana nazo, ugali na wali kwa wiki mara moja kaposheni kadogo...wik end napiga tizi kimtindo.Ukipunguza sukari chumvi na mafuta unene huondoka automatic
Unene ni lazima kuupunguza ili kuondoa uwezekano wa pressure na diabetes
Ni kweli shem.Safi sana...
Nafahamu wanawake hampendi kula sana, sababu mnajali mionekano yenu...
Kwa kweli mtani, πππNa hayo pia tutaambiwa yana madhara.
Safi ukifanikiwa utaona matunda yakeNataka kuachana na sukari kwenye chai....huko katika vinywaji kitambo sana nishaachana nazo, ugali na wali kwa wiki mara moja kaposheni kadogo...wik end napiga tizi kimtindo.
Kama diet iko vizuri havina shida.Ugali na wali una shida gani? Mbona mimi kwa miaka karibu 50 sasa nakula ugali au wali na niko poa?
Ugonjwa wa kishenzi sana sukari, laiti tungejua tusingefanya masihara na diet na life style .Ugonjwa mbaya na hatari sana huu, nilishuhudia mtu anakatwa mguu kisa kisukari
Sedentary lifestyle na junky food ni vitu vya kuviepuka sana, magonjwa haya yasiyoambukiza huja kwa njia hizi, na ni janga kwa kweliUgonjwa wa kishenzi sana sukari, laiti tungejua tusingefanya masihara na diet na life style .
Kuna dada ameolewa 2019 mpaka leo hawajapata mtoto, Mume kisukari kimemkula hadi mzee!
Kisukari kimesababisha mwanaume kakatwa uume?Ugonjwa wa kishenzi sana sukari, laiti tungejua tusingefanya masihara na diet na life style .
Kuna dada ameolewa 2019 mpaka leo hawajapata mtoto, Mume kisukari kimemkula hadi mzee!
π Ephen bana!Kisukari kimesababisha mwanaume kakatwa uume?
Usiombe uwe na kisukari halafu uwe na mke mzuri, unaweza kufa kwa presha au mawazo tu πHamu anasikia ila mashine haisimami?
Dr am 4 real PhD
Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Kumbe? Sikuwa najua.Hata wanawake wenye sukari libido inapotea !
Au mke kijanaUsiombe uwe na kisukari halafu uwe na mke mzuri, unaweza kufa kwa presha π