Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari


 
Kula chakula kingi kuna madhara makubwa kuliko kula chakula kichache kisicho na Afya.

Mtu anaekula msinia wa ndizi kama huo yupo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa kuliko mtu anaekula zege aka chipsi kuku wa kisasa.

Unapokula chakula kingi na intake yako ya calories, starch na vinginevyo ikawa kubwa kuliko mwili wako unachohitaji ndio magonjwa huanza hapo
 
Mimi kabisa huyu bila pepsi sijiskii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…