Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Ukisikiliza radio E FM katika kipindi chao cha michezo kinachoanza saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchana Ibrahim Masoud hutajwa kama mkongwe katika soka hapa TZ na leo wameenda mbali zaidi ati kwa Afrika Mashariki.
Nimefikiria nikaona labda ukongwe huo wanaoujua wao ni kuwa Ibra licha ya kuucheza mpira wa miguu tu sasa ni mchambuzi kama Ali Mayai.
Swali hapa nani kweli mkongwa kati yao?
Nimefikiria nikaona labda ukongwe huo wanaoujua wao ni kuwa Ibra licha ya kuucheza mpira wa miguu tu sasa ni mchambuzi kama Ali Mayai.
Swali hapa nani kweli mkongwa kati yao?