Kisoka nani mkongwe kati ya Ali Mayai na Ibrahim Masoud?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ukisikiliza radio E FM katika kipindi chao cha michezo kinachoanza saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchana Ibrahim Masoud hutajwa kama mkongwe katika soka hapa TZ na leo wameenda mbali zaidi ati kwa Afrika Mashariki.
Nimefikiria nikaona labda ukongwe huo wanaoujua wao ni kuwa Ibra licha ya kuucheza mpira wa miguu tu sasa ni mchambuzi kama Ali Mayai.
Swali hapa nani kweli mkongwa kati yao?
 
Hakuna anayemjua Maestro hana legacy kwenye mpira wa Bongo kama Tembele.

Kwa kujibu tu swali lako legend ni Tembele Mayai Ally
Hata mie nahisi hivo, sasa hawa wachambuzi wenzake hapo radioni wanapataje uhalali wa kutuongopea?
 
Hakuna anayemjua Maestro hana legacy kwenye mpira wa Bongo kama Tembele.

Kwa kujibu tu swali lako legend ni Tembele Mayai Ally
hakupata jina kubwa sana lakini kacheza soka la ushindani AFC arusha zamani,kawa kocha wa vijana teams nyingi kuanzia rollingstone hadi simba b,kawaibua kina earsto nyoni,mkude,ajibu,ndemla,miraji..nk
vilevile aliwahi kuwa mkurugenzi wa ufundi klabu ya simba
 
vilevile aliwahi kuwa mkurugenzi wa ufundi simba
Swali kiongozi wangu linauliza nani mkongwe kati yao.
 
hakupata jina kubwa sana lakini kacheza soka la ushindani AFC arusha zamani,kawa kocha wa vijana teams nyingi kuanzia rollingstone hadi simba b,kawaibua kina earsto nyoni,mkude,ajibu,ndemla,miraji..nk
vilevile aliwahi kuwa mkurugenzi wa ufundi klabu ya simba
Ibrahim Maestro yupi huyo mwenye sifa zote hizi? Mi najua career yake siku zote ni mtangazaji vipindi vya michezo. Labda utusaidie lini alifanya haya uliyoyaandika.
 
Maestro ni kocha anamiliki leseni daraja la kwanza kwa sasa,na anaweza kufundisha kama head coach kwa timu yoyote,iliyopo supa ligi,ingawa kiuchezaji tembele ana historia kuliko maestro na tembele ana keseni ya ukocha daraja la 3
 
Mkuu, nilikuwa namaanisha UKONGWE kisoka na si hali ya sasa ya kila mmoja. Saidia hapo kwenye ukongwe kwa maana ya nani katangulia kucheza soka kati yao.
 
Ally mayay & eddo kumwembe ni wazuri kwny writings.yaani makala za michezo.

Kwny verbal analysis hawana mvuto.hawana flow nzuri ya maneno.

Mchambuzi aliyepo kwny chati kwasasa ni george abangile..yule dogo ana kichwa kizima.
ana lugha ya watu, ana mifano hai, ana pitch (sauti) nzuri, anajua kuwasilisha content yeyote na ikaeleweka haraka.hii kirama.
 
Back
Top Bottom