hakupata jina kubwa sana lakini kacheza soka la ushindani AFC arusha zamani,kawa kocha wa vijana teams nyingi kuanzia rollingstone hadi simba b,kawaibua kina earsto nyoni,mkude,ajibu,ndemla,miraji..nkHakuna anayemjua Maestro hana legacy kwenye mpira wa Bongo kama Tembele.
Kwa kujibu tu swali lako legend ni Tembele Mayai Ally
Swali kiongozi wangu linauliza nani mkongwe kati yao.hakupata jina kubwa sana lakini kacheza soka la ushindani AFC arusha zamani,kawa kocha wa vijana teams nyingi kuanzia rollingstone hadi simba b,kawaibua kina earsto nyoni,mkude,ajibu,ndemla,miraji..nk
vilevile aliwahi kuwa mkurugenzi wa ufundi simba
maestro mkongwe hata kiumri mtu mzima yule hakosi 51 au 52 au 50Swali kiongozi wangu linauliza nani mkongwe kati yao.
Tusibahatishe mambo Tembele amezaliwa 1972 ana miaka 48 sasa chanzo ni Wikipedia huyo Maestro kwanini ubahatishe umri wake?maestro mkongwe hata kiumri mtu mzima yule hakosi 51 au 52 au 50
Ibrahim Maestro yupi huyo mwenye sifa zote hizi? Mi najua career yake siku zote ni mtangazaji vipindi vya michezo. Labda utusaidie lini alifanya haya uliyoyaandika.hakupata jina kubwa sana lakini kacheza soka la ushindani AFC arusha zamani,kawa kocha wa vijana teams nyingi kuanzia rollingstone hadi simba b,kawaibua kina earsto nyoni,mkude,ajibu,ndemla,miraji..nk
vilevile aliwahi kuwa mkurugenzi wa ufundi klabu ya simba
Topic closed.Hakuna anayemjua Maestro hana legacy kwenye mpira wa Bongo kama Tembele.
Kwa kujibu tu swali lako legend ni Tembele Mayai Ally
Maestro ni kocha anamiliki leseni daraja la kwanza kwa sasa,na anaweza kufundisha kama head coach kwa timu yoyote,iliyopo supa ligi,ingawa kiuchezaji tembele ana historia kuliko maestro na tembele ana keseni ya ukocha daraja la 3Ibrahim Maestro yupi huyo mwenye sifa zote hizi? Mi najua career yake siku zote ni mtangazaji vipindi vya michezo. Labda utusaidie lini alifanya haya uliyoyaandika.
Mkuu, nilikuwa namaanisha UKONGWE kisoka na si hali ya sasa ya kila mmoja. Saidia hapo kwenye ukongwe kwa maana ya nani katangulia kucheza soka kati yao.Maestro ni kocha anamiliki leseni daraja la kwanza kwa sasa,na anaweza kufundisha kama head coach kwa timu yoyote,iliyopo supa ligi,ingawa kiuchezaji tembele ana historia kuliko maestro na tembele ana keseni ya ukocha daraja la 3