Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Washikaji,nini sasa naskia kama kuna vichomi kwenye tundu la mkojo.Sasa nashindwa kujua nini tatizo kwa mtu ambaye ni mtalam au amewahi kukutana na ugonjwa huu anisaidie ili nikapime.Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda katoe Maelezo hayo kwa wataalamu wa afya watakushauri upimwe nini
Incubation period: usually 1-14 days for symptomatic disease. Most become symptomatic in 2-5 days after exposure. dalili hiyo siyo specific kwa gono, kamuone dakitari, ukapime and other diagnosis.... na kwanini unahofu na gono? Au ulizini? hata ukizini , kuna magonjwa mengine yenye dalili kama hizo.... ugonjwa ukizidi muone daktariWashikaji,nini sasa naskia kama kuna vichomi kwenye tundu la mkojo.Sasa nashindwa kujua nini tatizo kwa mtu ambaye ni mtalam au amewahi kukutana na ugonjwa huu anisaidie ili nikapime.Asante
Pamoja na hayo umepatiwa ushauri zaidi hapo chini.Sasa,siku nyingine chagua lugha ya kuandikia makundi yote ya rika.Siyo kila mtu aitwe "mshikaji"! Sawa mkuu?Asant mkuu
Eee ndgu yangUliloweka??
Nyama kwa Nyama ni tamu mkuu, ila sio salama kabisa,Washikaji,nini sasa naskia kama kuna vichomi kwenye tundu la mkojo.Sasa nashindwa kujua nini tatizo kwa mtu ambaye ni mtalam au amewahi kukutana na ugonjwa huu anisaidie ili nikapime.Asante
Pamoja na hayo umepatiwa ushauri zaidi hapo chini.Sasa,siku nyingine chagua lugha ya kuandikia makundi yote ya rika.Siyo kila mtu aitwe "mshikaji"! Sawa mkuu?
Nyama kwa Nyama ni tamu mkuu, ila sio salama kabisa,
Pole sana