Unacho kisa cha kwanza? Na kwanini uhisi tu?.Hapo kwenye Malaria nahisi haupo sahihi.
Malaria waliikuta huku huku uswekeni majengo kuinuka.
Hiyo migonjwa itokanayo na nyandu nyandu mizagamuo ndiyo ilitokea uzunguni.
Sio ukweli,kikawaida labda nikueleweshe,uwepo wa neno katika lugha husika za wazawa inaashiria uwepo wa kitu hicho hata kabla ya mwingiliano wa wazungu mfano kaswende kwa kisukuma ni bunyolo ,hii inaashiria kuwa wasukuma walikuwa / waliugua kaswende hata kabla ya wazungu,kisonono wasukuma wanaita kasogone hii inaashiria uwepo wa ugonjwa huo kabla ya ujio wa wazungu.Salaam Watanzania Wenzangu.
NI baelezee.
Afrika kulikuwa na magonjwa mengine ya kawaida tu, kama vile Kifua kikuu, Ukoma, Na ugonjwa wa Usingizi.
Magonjwa haya hayakusababisha vifo vya halaiki kama magonjwa waliyo kujanayo Wazungu kwasababu hayakuwa yameenea sana au yalikuwa hatari kama yale ambayo Wazungu walikuja nayo, kama vile Ndui, Surua, Mafua, Malaria, Kipindupindu, homa ya uti wa mgongo na Kaswende.
Banasema,magonjwa yametoka Afrique Nadhani hao wanaosema hivyo wanahitaji kurudi kwa muUnivasite au basepe.
NI hivyo tu.
Ni kweli kabisa. We baeleze baelewe. Na iyo ugonjwa ya usingizi ñdio inaitwa malale aka "sleeping sickness".Salaam Watanzania Wenzangu.
NI baelezee.
Afrika kulikuwa na magonjwa mengine ya kawaida tu, kama vile Kifua kikuu, Ukoma, Na ugonjwa wa Usingizi.
Magonjwa haya hayakusababisha vifo vya halaiki kama magonjwa waliyo kujanayo Wazungu kwasababu hayakuwa yameenea sana au yalikuwa hatari kama yale ambayo Wazungu walikuja nayo, kama vile Ndui, Surua, Mafua, Malaria, Kipindupindu, homa ya uti wa mgongo na Kaswende.
Banasema,magonjwa yametoka Afrique Nadhani hao wanaosema hivyo wanahitaji kurudi kwa muUnivasite au basepe.
NI hivyo tu.
Bunyolo maana yake ni nini? Sasa usije kutafsiri neno hilo kuwa ndio Syphilis.Sio ukweli,kikawaida labda nikueleweshe,uwepo wa neno katika lugha husika za wazawa inaashiria uwepo wa kitu hicho hata kabla ya mwingiliano wa wazungu mfano kaswende kwa kisukuma ni bunyolo ,hii inaashiria kuwa wasukuma walikuwa / waliugua kaswende hata kabla ya wazungu,kisonono wasukuma wanaita kasogone hii inaashiria uwepo wa ugonjwa huo kabla ya ujio wa wazungu.
Hayo ya Mungu tuwaachie wenye imani zao. BUNYOLO ina maana ipi/gani?Pia kuna watu wanadai habari za mungu hazikuwepo kabla ya ujio wa wazungu ,hii sio kweli, maana kwa lugha zetu za kiasili neno mungu lipo katika kila lugha za asili hii inaonesha kuwa watu waliamini mungu hata kabla ya ujio wa wazungu,ila kitu kipya walicholeta wazungu ni habari za Yesu maaana ukitafuta neno hili kwa lugha zetu za asili huwezi kukuta,hivyo inahitimisha kuwa sisi hatukuwa kuwa na ibada zq Yesu.
ugonjwa wa usingizi ukojeSalaam Watanzania Wenzangu.