screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,927
- 15,984
Hizi Body Splash zinapendwa sana na watu wa vipato vya kawaida ambao ndio wengi, changamoto ni kwamba zimepanda bei na hii ni kwasababu ya demand kuwa kubwa. Je muuzaji mkubwa wa hizi Body Splash hapo Dar ni nani nione kama naweza kuzipata kwa unafuu, maana nimezoea kununua kwa wauzaji wa kawaida ambao wanauza sh. laki1 kwa Dozen