hahahaahahaaaaa, mwengine liulimi LIGUMUUUUU kama MSASA!!!!.Kuna madenda mengine mtu anakuwa kama analamba koni yaani lijiulimi hadi kwenye pua na pumzi mnazibana. Mbona kazi mnayo!!
Kuna madenda mengine mtu anakuwa kama analamba koni yaani lijiulimi hadi kwenye pua na pumzi mnazibana. Mbona kazi mnayo!!
gonga senksi basi na wewe mpwa!!, Loh.
halafu,
kwenye DENDA hapo napo inabidi utueleze vizuri wewe Mama Mchungaji,
kwa utafiti mdogo nimegundua inawezekana humjui namna ya kulana denda!!(msicheke, this is serious wapwa!).
kuna bibie mmoja alinipa denda, ile nimempa ulimi mama yangu, ALIUVUTA KWA NDANI ALMANUSRA UNG'OKE,Lol.
nimeiona senksi!.nimegonga mpwa nawe kaka iribini senks zangu niliweka za krismas sasa unapunguza!!!
eeeh kweli mpwa hiyo kitu nayo sanaa u might end up loosing such an important organ etiii!!!
duh saa hii mpwa sijui ungekua aje??
nashukuru jamani wote nimewasoma, ila huyu kagusa ukweli na hali halisi ilivyo, yaani hali ndo iko hivi kama huyu alivyosema , mwenzangu si mvuta ugolo jamani, na wewe uliyesema sacrifice unatudanganya.. mi nikisema nijisacrifice kwahili, aisee basi ntakua siinjoi ile kazi maisha yangu yote, kwa sababu akishaanza hio kazi ya kutafuta mdomo wangu basi...mizuka yote kwaooooo...kama ningekua mwanaaume basi maumbile yangu yote yangesinzia..hivi ndo nilivyo.Kuna madenda mengine mtu anakuwa kama analamba koni yaani lijiulimi hadi kwenye pua na pumzi mnazibana. Mbona kazi mnayo!!
mnhhh, pole sana.nashukuru jamani wote nimewasoma, ila huyu kagusa ukweli na hali halisi ilivyo, yaani hali ndo iko hivi kama huyu alivyosema , mwenzangu si mvuta ugolo jamani, na wewe uliyesema sacrifice unatudanganya.. mi nikisema nijisacrifice kwahili, aisee basi ntakua siinjoi ile kazi maisha yangu yote, kwa sababu akishaanza hio kazi ya kutafuta mdomo wangu basi...mizuka yote kwaooooo...kama ningekua mwanaaume basi maumbile yangu yote yangesinzia..hivi ndo nilivyo.
Kuna tatizo zaidi ya hilo mama mchungaji, kuna maswali najiuliza hapa, ila ni too personal e.g huyu ni mpenzi wako wa ngapi? hao wengine(kama walikuwepo walikuwa hio kitu hawali?). Pia size ya kinywa cha mumeo kikoje? kama ni kikubwa kinaweza kuwa kinafunika hata pua na kukupa unpleasant smell.
Solution.
Jaribu kuwa unampa chocolate au ice cream wakati mnaanza libeneke.Au pipi zenye ladha nzuri.
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.
kama ningekua mwanaaume basi maumbile yangu yote yangesinzia
duuuh, i like this.wewe bado mtoto wenzako wananyonyana mpaka mk*nd* taratibu utazowea na utapendelea
🙄jamani..huyu ni mpenzi wa tatu, na niyeye tu ndo hii hali najiskia...ila wengine ilikuwa kawaida i real enjoyed their kisses, naomba mnielewe kuwa hii hali inayonisumbua imetokea kwake tu..yaani sijifeel kabisa..
kwa maelezo haya inabidi jamaa akafanyiwe sajeri ya domo spesifikali ulimi, kuwa mwangalif sana, sisi wanasayansi tumekubaliana kwamba ma ulimi marefu yanakuwa na acid nyingi. pia ni nafasi nzuri ya kuponesha vipele vya uso ,kwasababu acid ya ma ulimi marefu imegundulikana kuwa ni dawa nzuri ya vipele vya uso. fuatilia mabandiko yangu kwa umakini sana. karibuni nitalijadili hili kule kwenye JF doctor.nashukuru jamani wote nimewasoma, ila huyu kagusa ukweli na hali halisi ilivyo, yaani hali ndo iko hivi kama huyu alivyosema , mwenzangu si mvuta ugolo jamani, na wewe uliyesema sacrifice unatudanganya.. mi nikisema nijisacrifice kwahili, aisee basi ntakua siinjoi ile kazi maisha yangu yote, kwa sababu akishaanza hio kazi ya kutafuta mdomo wangu basi...mizuka yote kwaooooo...kama ningekua mwanaaume basi maumbile yangu yote yangesinzia..hivi ndo nilivyo.
kibluurai ni lugha gani jamani??D;D;
Hivi wewe umeolewa au huyo ni mshikaji tu mpita njia? kama uliolewa si ulisema katika shida na raha.Sasa kama kiss inakushinda yakija matatizo makubwa utasemaje?Kila kitu huwa kinatokana na uamuzi na mawzo yako mwenyewe,unaweza change situation ukitaka.nashukuru jamani wote nimewasoma, ila huyu kagusa ukweli na hali halisi ilivyo, yaani hali ndo iko hivi kama huyu alivyosema , mwenzangu si mvuta ugolo jamani, na wewe uliyesema sacrifice unatudanganya.. mi nikisema nijisacrifice kwahili, aisee basi ntakua siinjoi ile kazi maisha yangu yote, kwa sababu akishaanza hio kazi ya kutafuta mdomo wangu basi...mizuka yote kwaooooo...kama ningekua mwanaaume basi maumbile yangu yote yangesinzia..hivi ndo nilivyo.
mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.