Mimi wala simlaumu Mama Mchungaji. Kuna baadhi ya watu (kama mimi kwa mfano) ambao ni wepesi sana kupata kinyaa. Mimi hata chakula changu huwaga sipendi kishikwe na mtu mwingine. Hata kusalimiana kwa kushikama mikono sipendi (unajua kuna watu wana katabia kakujikuna kuna sehemu za siri, wengine kuingiza vidole puani kutoa boogers...yuuck...halafu hawanawi mikono). Sasa unamsalimia mtu unamshika mkono kumbe mwenzio katoka kujikuna kende au pusi yake. Gademu...that's nasty.
Hilo la denda ndio kabisa sipendi. Mdomo wa binadamu mchafu sana. Utakuwa mtu katoka kula kifungua kinywa, chakula cha mchana, na cha jioni halafu hata kufloss hajafloss au hata kusukutua hajasukutua halafu jioni akirudi nyumbani mwenzio anataka denda. Mibacteria iliyojikusanya kwenye domo lake siku nzima wewe eti ndio utailamba. What the fcuk?
Usafi wa kinywa kitu muhimu sana. Mimi nyumbani lazima niwe na chupa ya Listerine (Advanced), chupa ya Hydrogen Peroxide, na flossing thread na picks na kikwangua ulimi na mara mbili kwa mwaka naenda kwa mganga wa meno kusafishwa. Demu ambaye hana oral hygiene standards zangu simli denda!