TANZIA Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya afariki dunia

Kissendi alikuwa akifundisha mafundisho ya watu kuachana na dini za Uislamu na Ukristo na warudi kwenye dini za asili za mtu mweusi, dini za mababu na mizimu.
 
RIP Mwamba.

Mkuu,

Si hata Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alifia Hospitali ya St. Thomas London Uingereza?
Ni kweli mkuu.... na ni kwa sababu alishindwa kuweka miundombinu ya kumwezesha yeye na watanzania wengine kutibiwa hapa nyumbani.

Naye apumzike kwa amani.
 
Kissendi alikuwa akifundisha mafundisho ya watu kuachana na dini za Uislamu na Ukristo na warudi kwenye dini za asili za mtu mweusi, dini za mababu na mizimu.
Hizo dini za asili zilishindwa kutuokoa dhidi ya wakoloni na utumwa huoni kwamba huyo mungu waliyemuabudu alikuwa ni dhaifu
 
Kufia majini kwenda ulaya,vijana bize kuzurura kulilia viza za kuzamia utumwani huoni kwamba uhuru lilikuwa ni jambo la kukurupuka.
 
Hizo dini za asili zilishindwa kutuokoa dhidi ya wakoloni na utumwa huoni kwamba huyo mungu waliyemuabudu alikuwa ni dhaifu
Wazungu walileta dini kwanza kabla ya ukoloni
 
Kissendi alikuwa akifundisha mafundisho ya watu kuachana na dini za Uislamu na Ukristo na warudi kwenye dini za asili za mtu mweusi, dini za mababu na mizimu.
Hakuishi au kuhubiri Dini za Asili, ila kila mtu atambue, aheshimu na kuishi Ukuu wa Chimbuko na Asili yake. Na hiyo sio Dini, ni maisha halisi.
 
Sasa utateteaje haki za weusi. Ukiwa kwa weusi wenzio!?

Unatetea haki za weusi ukiwa kwa wazungu manake huko kwao

Mtu mweusi anabaguliwa.

Pls recharge your art of reasoning.

Upo low sana
Usipotafuta pesa na elimu utabaguliwa hata na mbwa wa nyumbani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…