TANZIA Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya afariki dunia

TANZIA Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya afariki dunia

Kissendi alikuwa akifundisha mafundisho ya watu kuachana na dini za Uislamu na Ukristo na warudi kwenye dini za asili za mtu mweusi, dini za mababu na mizimu.
 
RIP Mwamba.

Mkuu,

Si hata Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alifia Hospitali ya St. Thomas London Uingereza?
Ni kweli mkuu.... na ni kwa sababu alishindwa kuweka miundombinu ya kumwezesha yeye na watanzania wengine kutibiwa hapa nyumbani.

Naye apumzike kwa amani.
 
Kissendi alikuwa akifundisha mafundisho ya watu kuachana na dini za Uislamu na Ukristo na warudi kwenye dini za asili za mtu mweusi, dini za mababu na mizimu.
Hizo dini za asili zilishindwa kutuokoa dhidi ya wakoloni na utumwa huoni kwamba huyo mungu waliyemuabudu alikuwa ni dhaifu
 
Kwa hii logic inabidi wote twende Ulaya tukatetee haki za weusi huko!

Hivi Hapa Afrila haki za hao weusi zinaheshimiwa hadi useme kwa weupe ndiko kwenye wabaguzi na watetezi wa weusi wanapaswa kuwa huko?

Mnaenda kutetea haki za weusi kwa weupe kwa sababu mazingira ya hapa hayajuruhusu hata watetezi wenyewe kuishi kwa usalama

Ni kweli anabaguliwa kwa sababu yeye mwenyewe kwanza anajidharaulisha na kujidhalilisha mbele ya dunia. Hebu imagine watu maelfu kwa maelfu wana risk kufa kwenye maji ili tu afike Ulaya....halafu piga picha kiongozi mmoja wa Serikali ya kiafrica kaiba hela ameficha Swiss au Isle of Man ili tu yeye aneemeke and millions of his countrymen wateseke.
Una qualities zote ulizozitaja. Nakurudishia mpira.
Kufia majini kwenda ulaya,vijana bize kuzurura kulilia viza za kuzamia utumwani huoni kwamba uhuru lilikuwa ni jambo la kukurupuka.
 
Hizo dini za asili zilishindwa kutuokoa dhidi ya wakoloni na utumwa huoni kwamba huyo mungu waliyemuabudu alikuwa ni dhaifu
Wazungu walileta dini kwanza kabla ya ukoloni
 
Kissendi alikuwa akifundisha mafundisho ya watu kuachana na dini za Uislamu na Ukristo na warudi kwenye dini za asili za mtu mweusi, dini za mababu na mizimu.
Hakuishi au kuhubiri Dini za Asili, ila kila mtu atambue, aheshimu na kuishi Ukuu wa Chimbuko na Asili yake. Na hiyo sio Dini, ni maisha halisi.
 
Sasa utateteaje haki za weusi. Ukiwa kwa weusi wenzio!?

Unatetea haki za weusi ukiwa kwa wazungu manake huko kwao

Mtu mweusi anabaguliwa.

Pls recharge your art of reasoning.

Upo low sana
Usipotafuta pesa na elimu utabaguliwa hata na mbwa wa nyumbani kwako
 
Back
Top Bottom