Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
"kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa ambao hawezi kuusoma kwa sauti mbele za watu"
Kwahiyo, tupunguze kunyosheana vidole. Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
Kwahiyo, tupunguze kunyosheana vidole. Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu pekee.