Kisu kilichotumika kumkata sikio Gaidi aliyehusika na mauaji yaliyotokea Moscow kimeuzwa kama njugu

sio wahusika hao , mtu kufikia hatua ya kushambulia eneo kama lile na kutokomea bas ujue hao wamebambikizwa tu
Kwamba wewe unajua kuliko FSB? Hivi unajua hao magaidi walishazuru hilo jengo wiki chache kabla ya tukio (huo ndio utaratibu wao magaidi kusoma mazingira ya ‘kazi’) na taarifa zao zipo?

Kama sio wao kwanini walikuwa wanawakimbia polisi huku wakijibizana kwa risasi?
Hili sio suala la kuweka mihemuko ya kidini.
 
Usimtegemee mwanadamu...lia na nafsi yako
 
Tutolee upumbavu wako hapa , ushahidi wa nyokoo nenda msumbiji chizi wewe

Naomba tusiharibiane saumu mkuu.

Una ushahidi gani kama hao ni waislamu?

Pili, una ushahidi gani kama ni nchi za kiislamu ndizo zinafadhili vikundi hivyo!
 
Kama ni kweli wao ndio wahusika wa ukatili ule hawastahili kuonewa huruma na wakumbane na ukatili wa Putin.

Hawa hawastahili human rights, those are evils.
 
Mi naona Putin anapenda mikwara na showoff mana kwa kesi kama hii ya ugaidi na vile wanaipeleka ni wazi mzee ni mtu wa mikwara sana ila kitaalamu ni upepo kabisa..Jamaa wameonyesha udhaifu sana kupiga mshukiwa mangumi ya uso eti ni moja ya upelelezi?? labda waseme wanawatisha magaidi wengine wenye azma ya kuja kuishambulia Russia
Kitu ambacho wala magaidi hakiwezi watisha mana wao wapo radhi hata kujilipua na wahanga huko huko..
Inasikitisha mpaka wanapandishwa mahakamani wamewakata mpaka masikio lakini Putin na idara zake hajapata jibu ni nani yupo nyuma ya hao magaidi mwisho anaongea vitu vya ajabu eti magaidi huwa hawauwi wakati wa mfungo wa Ramazani..
Yani ye akili imemkaa tu USA na NATO ni ajabu
 
Leo nimemsikia Putin anawalaumu NAZI, sijaelewaga hawa NAZI wapo mrengo upi?
 
Tunaomba ushahidi wa hilo! Na ukumbuke anaewatuma/fadhili vikundi hivyo!
Wewe muislamu usiyekuwa na akili, haya kiko wapi.? Putin amepata uthibitisho kuwa hao magaidi ni Waislamu.
Mtaiweka wap misura yenu nyie magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…