Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
... na gaidi mwingine. Walipambana gaidi dhidi ya gaidi.Twende taratibu, huyo gaidi kakatwa sikio na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... na gaidi mwingine. Walipambana gaidi dhidi ya gaidi.Twende taratibu, huyo gaidi kakatwa sikio na nani?
Bashite kama sio 7yaTwende taratibu, huyo gaidi kakatwa sikio na nani?
Itakuwa hatari kwaoHao watatamani waolewe tu lakini hakuna wa kuwaoa ni kipigo kwa kwenda mbele.
Kwamba wewe unajua kuliko FSB? Hivi unajua hao magaidi walishazuru hilo jengo wiki chache kabla ya tukio (huo ndio utaratibu wao magaidi kusoma mazingira ya ‘kazi’) na taarifa zao zipo?sio wahusika hao , mtu kufikia hatua ya kushambulia eneo kama lile na kutokomea bas ujue hao wamebambikizwa tu
Usimtegemee mwanadamu...lia na nafsi yakoWe jamaa umetusaliti. Yaani umeacha kabisa kuwapigania Palestine. Umehamia kwa makafiri wengine wa Russia? Why umetuacha peke yetu tunaipambania Palestine? Wewe umehamia Russia. Hao unadhani ni ndugu zako? Umeacha Palestine wanauawa daily mpaka wamechoka kwa kipigo.
Tutolee upumbavu wako hapa , ushahidi wa nyokoo nenda msumbiji chizi wewe
Kama ni kweli wao ndio wahusika wa ukatili ule hawastahili kuonewa huruma na wakumbane na ukatili wa Putin.Nimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?
Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!
Kweli nimejisikia vibaya sana!
Na gaidi mwenzieTwende taratibu, huyo gaidi kakatwa sikio na nani?
Leo nimemsikia Putin anawalaumu NAZI, sijaelewaga hawa NAZI wapo mrengo upi?Mi naona Putin anapenda mikwara na showoff mana kwa kesi kama hii ya ugaidi na vile wanaipeleka ni wazi mzee ni mtu wa mikwara sana ila kitaalamu ni upepo kabisa..Jamaa wameonyesha udhaifu sana kupiga mshukiwa mangumi ya uso eti ni moja ya upelelezi?? labda waseme wanawatisha magaidi wengine wenye azma ya kuja kuishambulia Russia
Kitu ambacho wala magaidi hakiwezi watisha mana wao wapo radhi hata kujilipua na wahanga huko huko..
Inasikitisha mpaka wanapandishwa mahakamani wamewakata mpaka masikio lakini Putin na idara zake hajapata jibu ni nani yupo nyuma ya hao magaidi mwisho anaongea vitu vya ajabu eti magaidi huwa hawauwi wakati wa mfungo wa Ramazani..
Yani ye akili imemkaa tu USA na NATO ni ajabu
🤣🤣mwisho atajilaumu mwenyeweLeo nimemsikia Putin anawalaumu NAZI, sijaelewaga hawa NAZI wapo mrengo upi?
Israel akiyaua mnasema anavunja sheria ?Hawa magaidi wanaotumika kwa kivuli cha uislamu sio wakuonea huruma hawa, ni kuuchafua uislamu, kwa puttin wameyakanyaga, na wataongea anaewatuma/wafadhili ni akina nani!
Israel akiyaua mnasema anavunja sheria ?
vilikuwavingapi?Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Marekani..
Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out.
“Not in stock” all shops say.
View attachment 2944372
Wewe muislamu usiyekuwa na akili, haya kiko wapi.? Putin amepata uthibitisho kuwa hao magaidi ni Waislamu.Tunaomba ushahidi wa hilo! Na ukumbuke anaewatuma/fadhili vikundi hivyo!