Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe


Pole sana mkuu, kweli hujafa hujaumbika. mungu akusaidie katika hilo
 
Pole sana, Neno la Mungu iwe dawa ya kukuponya
 
Kuna dada mmoja anaitwa Rahabu na dawa ya fiterawa. Mtafute. Nimemsikia kwenye redio.
 

Pole kwa tatizo linalokusumbua. Sasa fanya hivi: AMUA KWA DHATI KUOKOKA NA KUMFANYA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO na hakika tatizo lako litakuwa HISTORIA. Kama uko Dar karibu FGBF Mwenge, kanisa linaloongozwa na Kamanda Mchungaji Zakaria Kakobe, na kama uko mikoani nitajie mkoa/mahali ulipo nikupe taarifa za makanisa ya FGBF huko uliko au fuata link hii: BRANCH CHURCHES - fgbfchurch.org.
 

Ninashukuru kwa ushauri wako ninaufanyia kazi.
 
AMKAWEWE;pia nimelipokea neno lako.nami nasema AMENI.
 
Pole sana.
Endelea kufuatilia matibabu ya kisukari. Kuhusu suala la ndoa, nakushauri uwe unaenda hospitali na mkeo ili asikie kutoka kwa dr na amuulize maswali. Aunt yangu aliishi na kisukari kwa miaka karibu 30 na kilichomuondoa ni uzee in real sense. Babangu ana sukari mwaka wa 10 huu and he is perfectly fine. Fuata masharti ya daktari na utaishi maisha ya furaha.
 

Nashukuru kwa ushauri wako.
 

Nashukuru sana.
 

Nimekuelewa.
 
pole aisee,halafu nyie watu wa kutoka burundi,waha mbona mna tatizo hili?nimeolewa katumba,most of the people wana kisukari.sio bure kuna kitu aisee.Any way pole aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…