Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

Hello wanajamii! Nimekuwa nikipokea simu na ujumbe mwingi kuwa hii huduma bado ipo ama laa maana wanasoma post za tangu mwaka 2013. Napenda kuwajulisha huduma inaendelea na kuwapo kimya humu ni kutokana na kazi kuwa nyingi sana. Mtu akiwa na shida yoyote asisite kuendelea kunitumia ujumbe katika email ya ishealthy@hotmail.com au kunipigia kwa namba 0776491294/0713889162. Karibuni sana kwa moyo wa ukarimu sana nipo kuwahudumia
 
Hiyo sukari ya 4 nayo ni ya kuangalia sana isije kushuka zaidi.pole sana kamanda.Kisukari ni hatari sana na kinasumbua.
 
Pole sana mkuu, mbegu za mlonge huweza kushusha sukari kwa kiasi kikubwa. Tafuna mbegu moja kila siku huku ukiendelea kupima sukari mara kwa mara mpaka itakapokuwa normal na hapo ndipo utakapoacha kutafuna. Mungu akuponye
 
Hiyo sukari ya 4 nayo ni ya kuangalia sana isije kushuka zaidi.pole sana kamanda.Kisukari ni hatari sana na kinasumbua.

Asante sana,sasa hivi kisukari kinakuwa kati ya 6 na 7 kabla ya kula kitu chochote.

Kinacho ni sumbua kwa sasa ni Bp ya kupanda na vidonda vya tumbo.
 
Mkuu acha kunitisha,siku yangu ya kufa anaijua mungu peke yake!

aisee wewe ni binadamu au myama, kwa mtu yeyote mwenye akila timamu hawezi kusema maneno unayomtakia huyu kaka, kumbuka hapo ulipo wewe ni sawa na ua mda wowote waweza nyauka. shukuru Mungu kwa neema na upendo alionao kwako na uwe na upendo kwa watu wanaokuzunguka
 
Mkuu hupo peke yako, ila maumivu makubwa zaidi yapo kwenye hiyo gharama ya dawa na vipimo tu. Watu mmemwambia asiache kutumia dawa kwa wakati. Jamani, Serekali sikivu hii, iwatambue watu wa kisukari. Tunabaamizwa kweli kweli kwenye dawa na vipimo.
Hebu zingatia kuwa huna njia bali lazima unywe dozi mara mbili au tatu kwa siku. Kidonge kimoja cha Metfomin ni shs 1000/= mara 5kwa siku ni shs 5000/=. Hujaweka vunavyi enenda nazo, na za BP. Ni Mungu tu anatuwezesha kwani sijui napata wapi hiyo hela. Serekali, kama uliwakumbuka wa Ukimwi, hawa wa kisukari mbona umefumba macho??
 
Mkuu acha kunitisha,siku yangu ya kufa anaijua mungu peke yake!
haujafanya vizuri, mtu yuko kwenye tatizo hapo. kwasababu una kiburi cha uzima, hujafa hujaumbika. wewe muda si mrefu yatakupata mkubwa kuliko ya huyo mwenzio, na kiburi cha kutafuna wanawake ulichonacho utakisikia kwa jirani tu, na pengine mkeo naye atatafunwa mbele yako. jiandae kwa hilo kuanzia sasa. na yakikukuta usiache kuja kuomba msaada hapa wa mawazo.
 
Nimekutumia PM namba yangu mpe mkeo nikusaidie mkuu.
 
Asante sana,sasa hivi kisukari kinakuwa kati ya 6 na 7 kabla ya kula kitu chochote.

Kinacho ni sumbua kwa sasa ni Bp ya kupanda na vidonda vya tumbo.
Nimefurahi kujua unaendekea vyema, pole na kila lakheri mkuu.
 
jamani tatizo lako ukija neptnus limekwisha kabisa, c sulari tu bali tuna dawa za takriban magonjwa yote sugu na virutubisho, vyote hivo vimetengenezwa kwa miti shamba lakin kwa njia ya kisasa. neptunus ndo mkomboz wa afya yako
 
Tutafute kwa namba 0717 998703/0759425257 au fika ofisini kwetu Sinza Africa Sana Plot no 36 nyuma ya soko. Tutakusaidia sana
 
Neptunus mnapatikana wapi hapa DSM?
jamani tatizo lako ukija neptnus limekwisha kabisa, c sulari tu bali tuna dawa za takriban magonjwa yote sugu na virutubisho, vyote hivo vimetengenezwa kwa miti shamba lakin kwa njia ya kisasa. neptunus ndo mkomboz wa afya yako
 
Sijasoma yoote ila kama hujawahi kutumia mayai ya kwale ncheki upate dose kwa 13000 trey moja na dose ni.mayai 240 0712691155
 
Sijasoma yoote ila kama hujawahi kutumia mayai ya kwale ncheki upate dose kwa 13000 trey moja na dose ni.mayai 240 0712691155

Mayai ya kwale yanatibu ugonjwa gani?.
 
Nimesikitika sana ila ulivyomalizia imebibidi nichecke tu...pole sana boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…