Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

jamani utani mwingine sio mzuri, kumbuka mwenzio hajaomba hata wewe waweza kutana na balaa zaidi ya hilo kama si kisukari chukulia mfano ukapata ajali ukapooza kiunoni kwenda chini, mtu akikuambia hayo maneno utafurahi, MUNGU AKUSAMEHE HUJUI UNENALO
Pole sana mkuu,tuachie wenye meno tuendelee kutafuna!
 
jamani utani mwingine sio mzuri, kumbuka mwenzio hajaomba hata wewe waweza kutana na balaa zaidi ya hilo kama si kisukari chukulia mfano ukapata ajali ukapooza kiunoni kwenda chini, mtu akikuambia hayo maneno utafurahi, MUNGU AKUSAMEHE HUJUI UNENALO
Mkuu acha kunitisha,siku yangu ya kufa anaijua mungu peke yake!
 
Wakati mwingine jaribu kuweka hoja yako kwenye paragraph.

Mimi imenishinda kusoma kwa kweli.
 
Wakati mwingine jaribu kuweka hoja yako kwenye paragraph.

Mimi imenishinda kusoma kwa kweli.

Pole mkuu sana kwa usumbufu uliyoupata.ila nikiri wazi kuwa mimi siyomwandishi mzuri.
 
Pole sana Mkuu. Fanya mazoezi kila mara, kutembea n.k. Pia kula mboga za majani kwa wingi na matunda, punguza kula vyakula vya nafaka, hasa vile vilivyokobolewa. Jaribu sana kupunguza uzito, kama una kitambi ujaribu kukipunguza. Zaidi ya yote punguza mawazo kwani ugonjwa wa kisukari huenda sambaba na ugonjwa wa shinikizo la damu.

Ushauri mzuri sana umetoa. Aanze na kuelewa ana kula nn na kina mchango gani kwa afya yake. Mazoezi nayo ni muhimu haswaa
 
Pole sana Mkuu. Fanya mazoezi kila mara, kutembea n.k. Pia kula mboga za majani kwa wingi na matunda, punguza kula vyakula vya nafaka, hasa vile vilivyokobolewa. Jaribu sana kupunguza uzito, kama una kitambi ujaribu kukipunguza. Zaidi ya yote punguza mawazo kwani ugonjwa wa kisukari huenda sambaba na ugonjwa wa shinikizo la damu.

Mkuu Dingswayo, hizo ulizozitaja ni hatua mahususi za kumfanya awe na nguvu za kiume au ni za ku-control sukari au ni ya kusaidia vyote pamoja?
 
Last edited by a moderator:
pole sana....fanya mazoezi mepesimepesi kazana kumuomba mungu maana yeye ndio kila kitu....
 
pole sana ndio matatizo ya dunia hii vumilia utayashinda yote, Mungu akutie nguvu katika hili
 
Mkuu Dingswayo, hizo ulizozitaja ni hatua mahususi za kumfanya awe na nguvu za kiume au ni za ku-control sukari au ni ya kusaidia vyote pamoja?

Ni vyote. Maana sukari katika damu ikipungua, hata shinikizo la damu linapungua na mwili unarudia hali yake kutegemea na jinsi ulivyoathirika.
 
Ni kweli leo nimepima Bp iko 150 kwa 100 kisukari bado sijapata jibu.

Hakkuna ugonjwa YESU AWEZI KUUPONYA MPENDWA MUNGU ANABADILI MAJINA YA TASA WA MIAKA KADHA NAKUITWA BABA FUDENGE NINI KISUKARI;NNI KUSIMAMISHA UUME BANA;;;B4SNYTHING TAFUTA KANISA LA KILOKOLE OMBA MTU AKUONGOZE TOBA;AKUONGOZE SALA YA REHEMA UREHEMIWE NA UKOIO NA KIZAZI KILICHOPITA;SISEM KWA UBAYA UNAWEZA OMBA SANA KUMBE SRC N BABU YAKO MZAA BIBI AMA BABU;SO KAMA N LAANA LAZIMA IOMBWE REHEMA KWAKUWA AWAKO HAI MUNGU AWASAMEHE IWEZEKUNYANYUKA;SIJUI UNAMIAKA MINGAP UKIULIZA PENGINE WAO ILIGOMA KUSIMAMA MIAKA 26;BADA YA HAPO NENDA HOSPT FWATA MASHARTI NASEMA HIVI SIKUHIZI VIJANA WANATESEKA NA KISUKARI SABABU ZA DHAMBI ZA WAZAZI WAO AMA BABU ZAO JIANGALIE FANYA MAPPING YA FAMMILLY UNIAMBIE OTHERWISE MUNGU WA MBINGUNI AKUSIMMAISHE NANII YAKO IN JESUS NAME NIMESOMA MWANZO TO UFNUO SIJAONA HAKO KAGONJWA HIZO NGUVU ZA GIZA;ANGALIA KWENU AKUNA WALIOTENGENA SHETAN ANAWEZA KOSA SABABU NA MKEO AKAITUMIA KAMA KIGEZO VUNJA KEMEA FYEKA KABISA HZO LAANAA ALL THE BEST
 
Pole sana mkuu...

Kwa wataalam, baada ya kuithibiti sukari (ugonjwa), muathirika hurudia hali yake au ndio ntolee?
 
Back
Top Bottom