Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kwahiyo kila mji Kenya kuna Slum!!?
Kila mji mkubwa Africa kuna slums, hata S. Africa kuna slums. Ni kujipotosha sana pale nyinyi watz mnapopinga kuwepo kwa slums kwenye miji yenyu mikuu!
 
Kila mji mkubwa Africa kuna slums, hata S. Africa kuna slums. Ni kujipotosha sana pale nyinyi watz mnapopinga kuwepo kwa slums kwenye miji yenyu mikuu!

Unaweza kuwa sawa
lakini si Kwa slum za kenya vile!!
Da!! inatia huruma kiukweli
kwanza mimi sikuwahi kudhani Kenya kuna vijumba kama vile!!
Toka nazaliwa sijaona vijumba kama vile Tanzania
Kina MOTOCHINI na Annael ndio wamenifumbua macho
nisilo lifahamu Kenya
 
pamoja na picha zote hizo mlizoweka,kisumu bado uwezi linganisha na Arusha au mwanza.Kisumu labda tuilinganishe na Iringa Tz.
 
Kuna slums kadhaa tu ambako hali ni afadhali. Usidhanie kila slum inakaa Kibera. Annael na Motochini ni mahasidi wetu, kwa hivyo bila shaka watatilia chumvi suala hilo

Na pia kusema hamna slum bovu Dar es salaam, hapo ni uongo








Je, humu kuna mitaro ya maji taka? Kukinyesha mambo huwa vipi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…