Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Sio wajaluo wamelijenga Ila limejengwa Kwa mchango wa wakenya kutoka matabaka mbalimbali.Wajaluo wako vizuri...wana akili na jiji lao linapendeza
Imagine location ya mwanza ni nzuri kuliko kisumu na kuna watu wengi kuliko kisumu lakini kwanza yenyewe ni rubbish hamna cha maana
Ingekuwa mwanza hilo bonde picha ya juu lingejaa dream houses kila mtu kajenga anavyojiskia.