Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kulinganisha mada/vitu vya kijinga tuliwachia wadanganyika. Huu uzi ni wa jiji la KISUMU, Kenya's 3rd City. Wenye wivu?
N

Hiyo town bado sana.Kama miji ya Tz Mwanza na Arusha Dodoma tukiweka picha ya jengo moja moja na barabara sioni miji ya Kenya kushindana na mini ya Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hatulinganishi Kisumu na mji mwingine anywhere lakini kwa wivu wa WaTanzania kadhaa nimeona wakijaribu kuleta vijiji vyao kadhaa hapa kama Mwanza(2nd Largest city in Tanzania) inayolinganishwa na Nakuru(5th largest city in Kenya) kwenye uzi mwingine, Thika Town vs Dodoma(Capital City ya Tanzagiza) na pia Dar es Salaam vs Mombasa.

Mnachekesha Kweli na hadithi zenu za vijiweni, Upumba wa ccmu na kusadiki msicho kiona kwa macho yenyu ni kama mnafatana kiholela kama kondoo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee mdanganyika ni mtu wa kusikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_15462060364301615.jpeg
IMG_20181230_171203_475.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ignore these bastards. The thread is about Kisumu. Wamekosa hoja in that dying thread wakaona waje huku
 
Hiyo n sawa kupiga picha manzi wako upande wa kushoto,Julia,Mbele na nyuma

Ukaanza tena uvungu wa paja ,kisigino na unyayo

Ukafuatia shingoni ,kifuani ,Nywele na makalio

Nothing new iwe picha ya usiku au mchana hakuna jipya hiyo town bado haijaendelea sana.Hongeren kwa kuwa mji was viwanda but you can not compair it with Mwanza,Arusha,Dodoma,Zanzibar

Labda italingana na Mbeya au Tanga
 
Asante kwa kuongea kama kondoo kumi
FB_IMG_15425277094089549.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the only thread in subsection of kenya forum that has been visited three million times(number of views), created by a tanzanian in january 2017. two consecutive years at the top of the most trending threads.

it expects to get more visitors in 2019.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Screenshot_2019-01-02-08-49-30-707_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Back
Top Bottom