Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Kama ni 3rd largest, na haifikii arusha muwe munaacha fananisha towns za tz na huu uchafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni 3rd largest, na haifikii arusha muwe munaacha fananisha towns za tz na huu uchafu
Hiyo town bado sana.Kama miji ya Tz Mwanza na Arusha Dodoma tukiweka picha ya jengo moja moja na barabara sioni miji ya Kenya kushindana na mini ya TzKama ni 3rd largest, na haifikii arusha muwe munaacha fananisha towns za tz na huu uchafu
Sent using Jamii Forums mobile app
N
Hiyo town bado sana.Kama miji ya Tz Mwanza na Arusha Dodoma tukiweka picha ya jengo moja moja na barabara sioni miji ya Kenya kushindana na mini ya Tz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee mdanganyika ni mtu wa kusikitisha sanaHapa hatulinganishi Kisumu na mji mwingine anywhere lakini kwa wivu wa WaTanzania kadhaa nimeona wakijaribu kuleta vijiji vyao kadhaa hapa kama Mwanza(2nd Largest city in Tanzania) inayolinganishwa na Nakuru(5th largest city in Kenya) kwenye uzi mwingine, Thika Town vs Dodoma(Capital City ya Tanzagiza) na pia Dar es Salaam vs Mombasa.
Mnachekesha Kweli na hadithi zenu za vijiweni, Upumba wa ccmu na kusadiki msicho kiona kwa macho yenyu ni kama mnafatana kiholela kama kondoo.
Mnawashwa sana the same aerial view sasa umuipost side view yake
Ndo hizo zingineMnawashwa sana the same aerial view sasa umuipost side view yake
Hiyo n sawa kupiga picha manzi wako upande wa kushoto,Julia,Mbele na nyumaNdo hizo zingineView attachment 981681View attachment 981682View attachment 981683
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuongea kama kondoo kumiHiyo n sawa kupiga picha manzi wako upande wa kushoto,Julia,Mbele na nyuma
Ukaanza tena uvungu wa paja ,kisigino na unyayo
Ukafuatia shingoni ,kifuani ,Nywele na makalio
Nothing new iwe picha ya usiku au mchana hakuna jipya hiyo town bado haijaendelea sana.Hongeren kwa kuwa mji was viwanda but you can not compair it with Mwanza,Arusha,Dodoma,Zanzibar
Labda italingana na Mbeya au Tanga