Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Yeah sometimes it's nice to concede defeat. It wasn't my intention to spoil your lovely thread though.Yes Mwanza is better than Kisumu. π It's the 2nd most important city after Kampala on the Lake Victoria basin. Sasa wacha thread iendelee kama kawaida.
Tanzania is a Joke. Sasa Linganisha na Kisumu ya tatu Kenya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hiyo ni Mwanza ya 2005 labda.
Leta mji wa Kenya wenye CBD ya hivi ukitoa Mombasa na Nairobi.
Hizo ni nyumba au ghorofa?Tanzania is a Joke. Sasa Linganisha na Kisumu ya tatu Kenya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
.
Mwanza can`t be above Kisumu in anything. Hata yeye anajua. Tell him to do the comparison step by step uone kama atabaki hapa. Tell him to do comparison onYes Mwanza is better than Kisumu. π It's the 2nd most important city after Kampala on the Lake Victoria basin. Sasa wacha thread iendelee kama kawaida.
Unakurupuka kunukuu bila kuelewa post tatizo.
Niliyomaanisha ni ya 2005 ni hiyo aliyoiweka mwenzio post #783.
Angalia kama inafanana na ninazoweka mimi.Halafu kuwekwa YouTube 2020 haimaanishi ni ya huo mwaka.Hiyo video ni ya around 2017 maana kuna buildings nimeona zinamiss.Na hamjaifikia hata hivyo.
Nyie hako ka-centre ka mji wenu kana maghorofa matatu tu.Ndo mnayaweka hayo kila muda.Kusema Kisumu ina CBD ni kulikosea heshima hilo neno!
Eti ina shacks! Maneno ya mkosaji tu hayo.
In a nutshell Kenya has got two cities,the rest ni siasa tu.
Kwani gorofa sio nyumba?Hizo ni nyumba au ghorofa?
Why ulikimbia ule uzi wa battle? Hadi ukaanza kupost vitu Ghana. Kuna mwenzio aliweka picha ya Lagos ya usiku eti Kisumu hehe!Mwanza can`t be above Kisumu in anything. Hata yeye anajua. Tell him to do the comparison step by step uone kama atabaki hapa. Tell him to do comparison on
Roads
Malls
Highrises
Real Estate
Airport
Economy
Port
Hospitals
Hospitality
Tourism
Entertainment.
usiwahi weka Mombasa katika sentensi moja na upumbavu wa Mwanza...Mombasa.
Ndo hivyo.Hutaki tembea.usiwahi weka Mombasa katika sentensi moja na upumbavu wa Mwanza...
Hizo nyumba shindanisheni ninyi kwa ninyi kwenye miji yenu huko.Kwani gorofa sio nyumba?
kila mtu anajua mji wa gorofa tatu ni dar...hapo kwa tpa tower ndio dar.hivi huoni aibu mwanza mji wenu wa pili unapambanishwa na kisumu...infact ata nai nms inapea kipaumbele NMT system.thats the trend saa ii,lakini nyinyi na ulimbukeni wenu mnaona daladala mjini ni maendeleoNdo hivyo.Hutaki tembea.
Tena ngoja nikusanye picha nyingi nianzishe hilo battle.Au ngoja nisubiri Airport na ile Cable bridge ikamilike tuanze kutifuana.
Ila hako kamji kenu kenye maghorofa matatu kashindanishe na miji yenu huko.Kwanza bado kanatumia baiskeli kama daladala.Ilhali watu tunaelekea kwenye uba na mwendokasi.
Hakuna mbongo anayeipambanisha Mwanza na Kisumu kaka.Ni ninyi ndo mnapenda kupambanisha miji yetu dhidi ya yenu mkiamini yenu ipo juu siku zote.Mimi nakubali mji wenu wa pili(Mombasa) umeuacha wa kwetu(Mwanza).Sawa. Ila Kisumu hapana! Never! Hiyo Kisumu inatoshana na mji wetu watatu kabisa(Arusha).Na inaweza ikazidiwa.kila mtu anajua mji wa gorofa tatu ni dar...hapo kwa tpa tower ndio dar.hivi huoni aibu mwanza mji wenu wa pili unapambanishwa na kisumu...infact ata nai nms inapea kipaumbele NMT system.thats the trend saa ii,lakini nyinyi na ulimbukeni wenu mnaona daladala mjini ni maendeleo