Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Yes Mwanza is better than Kisumu. 😁 It's the 2nd most important city after Kampala on the Lake Victoria basin. Sasa wacha thread iendelee kama kawaida.
Yeah sometimes it's nice to concede defeat. It wasn't my intention to spoil your lovely thread though.
Someone made me do it.
 
Yes Mwanza is better than Kisumu. 😁 It's the 2nd most important city after Kampala on the Lake Victoria basin. Sasa wacha thread iendelee kama kawaida.
Mwanza can`t be above Kisumu in anything. Hata yeye anajua. Tell him to do the comparison step by step uone kama atabaki hapa. Tell him to do comparison on
Roads
Malls
Highrises
Real Estate
Airport
Economy
Port
Hospitals
Hospitality
Tourism
Entertainment.
 
Unakurupuka kunukuu bila kuelewa post tatizo.
Niliyomaanisha ni ya 2005 ni hiyo aliyoiweka mwenzio post #783.
Angalia kama inafanana na ninazoweka mimi.Halafu kuwekwa YouTube 2020 haimaanishi ni ya huo mwaka.Hiyo video ni ya around 2017 maana kuna buildings nimeona zinamiss.Na hamjaifikia hata hivyo.

Nyie hako ka-centre ka mji wenu kana maghorofa matatu tu.Ndo mnayaweka hayo kila muda.Kusema Kisumu ina CBD ni kulikosea heshima hilo neno!

Eti ina shacks! Maneno ya mkosaji tu hayo.

In a nutshell Kenya has got two cities,the rest ni siasa tu.

Kisumu is far ahead of Mwanza. Kama unapinga you can list anything that Mwanza beats Kisumu in. Unacomplain about Kisumu highrises as if tuliwaambia msijenge and to make the matters worse that someone who is complaining is the same person that has been posting Dar three towers since 2017.
 
Mwanza can`t be above Kisumu in anything. Hata yeye anajua. Tell him to do the comparison step by step uone kama atabaki hapa. Tell him to do comparison on
Roads
Malls
Highrises
Real Estate
Airport
Economy
Port
Hospitals
Hospitality
Tourism
Entertainment.
Why ulikimbia ule uzi wa battle? Hadi ukaanza kupost vitu Ghana. Kuna mwenzio aliweka picha ya Lagos ya usiku eti Kisumu hehe!
Twende ule uzi wa battle nikufukulie makaburi.Wacha kujificha huku.
 
usiwahi weka Mombasa katika sentensi moja na upumbavu wa Mwanza...
Ndo hivyo.Hutaki tembea.
Tena ngoja nikusanye picha nyingi nianzishe hilo battle.Au ngoja nisubiri Airport na ile Cable bridge ikamilike tuanze kutifuana.
Ila hako kamji kenu kenye maghorofa matatu kashindanishe na miji yenu huko.Kwanza bado kanatumia baiskeli kama daladala.Ilhali watu tunaelekea kwenye uba na mwendokasi.
 
kila mtu anajua mji wa gorofa tatu ni dar...hapo kwa tpa tower ndio dar.hivi huoni aibu mwanza mji wenu wa pili unapambanishwa na kisumu...infact ata nai nms inapea kipaumbele NMT system.thats the trend saa ii,lakini nyinyi na ulimbukeni wenu mnaona daladala mjini ni maendeleo
 
Hakuna mbongo anayeipambanisha Mwanza na Kisumu kaka.Ni ninyi ndo mnapenda kupambanisha miji yetu dhidi ya yenu mkiamini yenu ipo juu siku zote.Mimi nakubali mji wenu wa pili(Mombasa) umeuacha wa kwetu(Mwanza).Sawa. Ila Kisumu hapana! Never! Hiyo Kisumu inatoshana na mji wetu watatu kabisa(Arusha).Na inaweza ikazidiwa.
Transport also matters. Mji mkubwa lazima uende sambamba na huduma bora ya usafiri.Watu wafanye shughuli kwa wakati.Na mambo mengine pia.
Huo ndo uhalisia!
 
Kisumu City
IMG_20200728_210119.png
 
Back
Top Bottom