Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Huo ndiyo Mji wa Raila Odinga, nimefika hapo lkn siyo pazuri kiivyo hizo ni picha tu ambapo mpiga picha kachagua baadhi ya sehemu nzuri ambapo unaweza kufanya hivyo kwenye Mji wowote ule!

Wewe unafikiria Kisumu ni kama hapo kwenu Kolominje, wewe ulitembelea Kisumu gani. Tulia upewe mapicha, si nyie ndio huwa mnasema Kenya ni Nairobi tu.
 
Ukiishi kwenye big city, town kama hizi unaziona ndogo sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…