Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Huo ndiyo Mji wa Raila Odinga, nimefika hapo lkn siyo pazuri kiivyo hizo ni picha tu ambapo mpiga picha kachagua baadhi ya sehemu nzuri ambapo unaweza kufanya hivyo kwenye Mji wowote ule!
... Kitu pekee ambacho huwa unakifagilia bila kuhoji ni Lumumba FC
 
Mwanza yatoshana Eldoret
ok inatoshana na thika. Does it help much to boost your esteem..
Dont spoil this thread with your unnecessarly contests...
 
Kisumu is well planned, and a lot of research on the same is done too... They also adhere to the plans.
 
Lakinikwa kweli unapozungumzia Kenya inaweza kuchukua muda sana kukumbuka kuwa kuna mji unaitwa Kisumu. Miji inayotajwa ni ile ya ukanda wa pwani na rift valley
 
13178897_981307285318168_84724637514724430_n.jpg

Kisumu state lodge
C9CBiIfWsAAvg0u.jpg
 
Huu mji uko na watu wangapi...una fursa gani uko za kiuchumi?
 
haiwezi kuipiku mwanza. around lake victoria no city can beat Mwanza.
 
Back
Top Bottom