IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
... Kitu pekee ambacho huwa unakifagilia bila kuhoji ni Lumumba FCHuo ndiyo Mji wa Raila Odinga, nimefika hapo lkn siyo pazuri kiivyo hizo ni picha tu ambapo mpiga picha kachagua baadhi ya sehemu nzuri ambapo unaweza kufanya hivyo kwenye Mji wowote ule!