BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
you can't escape me...i have a lot of screenshots for kisumu waiting for upload.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Guys let's leave the dar thread for Tanzanians... Let's form threads of other towns outside Nairobi...
PovuuuuuuuSijai ona watu mafala kama Tanzanians.
Big Up Ugandans
kule lazima waturudi tu kwasababu watu wa central na rift valley hawatafurahi kuona kisumu inajadiliwa hapa.ukabila unawatafuna.Mtarudi tu
kule ni Mtakuja hahaha
wenzie walisema Wanaenda Nairaland wapo wapi[emoji12] [emoji12]
Hahaha pole sanaSijai ona watu mafala kama Tanzanians.
Big Up Ugandans
kishwahili hicho!!Kondele Overpass
Swann Centre,
Lake Basin Mall (hawa apana bado iko maliza hii kitu!!)
Hizo zipo lakini baiskeli ndio taxi zimejaaa kibao hahahahahhahaha hutoki hapa wewe nilikua kisumu last year December hahahahahahhaYes, until around 2005, they were the most common means of transport for short distances, but motorcycle taxis have virtually taken over. Bicycle taxis are almost non-existent this days.....in any case they are not even popular. Not even in the deep rural parts of the Kisumu county.
These days the cheaper means of transport around the city are either bodaboda motorcycles or tuktuks....bikes are considered too hazardous, they were in fact banned by the city authorities.....in 2005/6 I cant recall the exact year. But I remember that decree triggered quite some furore, with the youths clashing with the police in the streets, protesting the order.
PovuuuuuuuuuiπππππππππSijai ona watu mafala kama Tanzanians.
Big Up Ugandans
Nimewaambia nilete city gani wachague wenyewe niwaletee arusha au Zanzibar au tanga au mbeya ahahhahahahaaah hawataki kujibu
Hahahahahhaha hawatoki humu hawa mpaka wachague chai au maji au juice waseme ipi tuanze kaziHahaha yani Ungesema Unguja siyo Zanzibar!!
au Pemba
Huko kote ni Kuipa hadhi Kisumu
Tufanye mji wa 3tz Arusha vs huo wa tatu kenya
Hahahahahhaha hawatoki humu hawa mpaka wachague chai au maji au juice waseme ipi tuanze kazi
Tuwape tanga maana unguja na arusha hawaipati hata ukucha hhahhhahaaahMkianza mnaanza na Hotel
tena kwa nyota Ngapi kuanzia nyota 3+
kabla ya mambo mengine
Unajua hawa dharau zitapotea kabisa
Bado sijaingia kwenye slum hapa hahhahhahhah nishangaze ulimwengu hahhahahhahahπππππππ arusha hawaiwezi hata ukucha tuwape tanga hawa ili wapambane nayo kwanza hahhahahahhha
Sawa mm sina hilla dawa yangu ni kumwaga dozi tuanze tu kugawa kichapo kama vpNimesema Arusha kwasababu
kuna kejeli humu
Eti kisumu mji wa tatu!!
Basi na Arusha ni Mji wa 3
tuone