Wewe ndiye unayeona jambo hili kama ni aibu, na unataka lisemekane hivyo. Mimi sikupingi ati kwasababu nachukulia hii aina ya usafiri kama ni jambo la aibu.
Mimi langu hapa ni kukuelezea uhalisia wa mambo humu, ya kwamba mbinu hii ya uchukuzi imekuwa negelected na watumizi pamoja na kuhujumiwa na mamlaka ya miji.
Soma hata kwenye hilo ripoti uliyopost hapo wewe mwenyewe:
Hio ni ripoti yenye nia ya kuhamasisha serikali na wananchi kwqa ujumla kuhusu umuhimu wa mbinu hii ya usafiri. Clearly, mwandishi anawasihi wasilikubalie hii industry kudorora.
Bicycle bodabodas are on the decline, due to the increased popularity of tuktuks and esp motorcycles. People favor these modes of transport cos they are considered faster, safer and that they can bear heavier loads. The taxi operaters also deem them more profitable than bicycles. Add that to the frustration on the business by the local authorities.
Competitive Forces Influencing Business Performance of Bicycle Taxis in Kisumu City, Kenya | Kokwaro | Mediterranean Journal of Social Sciences
Kwa hivyo, u have not effectively disproved what I have told u above.
Again, u are lying about being in Kisumu last year. Bicycle bodabodas are no longer as common as Tuktuks and esp, the motorcycles....to the extent that motorcycle taxis are considered a nuisance, recently they were even banned from plying within the Kisumu CBD.
Now read this report
No boda bodas in CBD, passengers must sit astride, transport authority says
Am I lying?