ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
twende kazi acha uoga na humu tunaleta arusha hatoki mtu nakwambieni😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ushakuja haribu thread huku wakati mwanza nmeifanya kama kijiji kule kwa Mombasa..."oooh Kenya Nairobi peke yake"....hehee,ntawaaibisha kule kwa mwanza mpaka mchanganye arusha cz mwenzako alishaingiza dar tayari..
yule alikua hajui kinachooendelea acha nidhamu ya uoga😀😀😀😀😀😀😀😀