Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Appreciate[emoji111]Arusha is [emoji91] [emoji91] [emoji817]
Ever green town,ata wether yake iko safi sana yani....izo picha za arusha ni fiti is it always that green?
Ndio uwanja huu wa mpila!!
Hovyo
Hahaaaa ukitaka league humu ya watz ni mwanza vs arusha,hapo wakenya wanawekwa kandoArusha sio mji mkubwa but ni better zaidi ya mwanza kwa majengo ya kisasa...arusha zipo subarb nzuri sana na madhari yake panapendeza sana...
Nmekusoma kakaHahaaaa ukitaka league humu ya watz ni mwanza vs arusha,hapo wakenya wanawekwa kando
Arusha kwa majengo ipo mbele na hata kwa mandhari ila mji mwingine unaokuja kasi kwa mijengo ni dodoma aseee yaani baada ya miaka kama kumi..miji mingine itasomeshwa namba
Tatizo la mwanza ni milima tu lakini kwa ukubwa arusha bado sana maana ukiingalia mwanza katika barabara zote panajengeka, barabara ya airport ipo hot, buhongwa na igoma zote ni shidaa...
bado kuna sehemu kama capri point,bwiru na busweru ni kama pamejificha lakini napo papo vizurii...
Watu ambao hawaijui miji ya Tz ni lazma watashtushwa na miji ya Kenya lakini kiukweli yetu ni mikubwa ila planning ndo tatizo
I hope inakua managed vizuri...imagine that green ambience complimented with cleanliness.inaweza kua kivutio kikuu EA nzima personally nimepapenda sanaEver green town,ata wether yake iko safi sana yani....
Exactly man even at skyscrapercity... iime pik oo weiTanzanians this is not about competition...if you want to show your own cities create a thread for your own rather than coming here and spoiling the thread for Kisumu...this habit of your really sucks big time.. i have noticed it even in Kenya sksycrapercity which you like posting Tanzanians SGR. it is babyish kind of habit. kindly stick to the theme of the thread