Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

images-4.jpeg
 
Kwa wajaluo...Ila Kenya kuna ubaguzi aisee sijawahi kuona.

Hapo kisumu ukifungua biashara kama sio mjaluo hupati wateja labda uweke wafanyakazi wa kabila lao.
 
.
Its that's not true.kisumu has many indians who are mainly businessmen.The kisiis ara also many in this town mainly living in nyamasaria.How about luhya investors like the former speaker of parliament.Kikuyu's are also businessmen here and mainly concentrating in distribution of foodstuffs.Dont forget Ugandans and Tanzanians who sell their products in kibuye market every Sunday.kalenjins are mainly distributees of maize in this city.ua statement is not true
 
Kwa wajaluo...Ila Kenya kuna ubaguzi aisee sijawahi kuona.

Hapo kisumu ukifungua biashara kama sio mjaluo hupati wateja labda uweke wafanyakazi wa kabila lao.
Wewe Mfipa umefika Kenya kweli ?
 
Kwa wajaluo...Ila Kenya kuna ubaguzi aisee sijawahi kuona.

Hapo kisumu ukifungua biashara kama sio mjaluo hupati wateja labda uweke wafanyakazi wa kabila lao.

Wacha uongo! Ni Kenya gani au Kisumu ipi hiyo ya ubaguzi wa biashara!? Sema ni hadithi ulisikia na sio ukweli wa mambo.
Nina biashara Kisumu na wala mimi sio Mjaluo na 99% ya wateja ni Wajaluo.

Peleka fitina mbali.
 
Back
Top Bottom