Kisumu City Kenya 2020

Kisumu City Kenya 2020

Safari Ni ndefu sana yani nje ya Nairobi Na Mombasa hakuna Mji wa kushtua kabisa!!
Barabara safi vibanda ndio vingi nyumba za kuhesabu!
Mbeya city ndio inashtua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thanks, yaani Kisumu pazuri, vizuri sana jinsi nchi hii inapiga hatua kwa kasi.
Kuna wenzetu wa kusini hupiga picha ya ghorofa tatu za mjini kati basi, huwa hawana kingine zaidi ya hapo.
 
Safari Ni ndefu sana yani nje ya Nairobi Na Mombasa hakuna Mji wa kushtua kabisa!!
Barabara safi vibanda ndio vingi nyumba za kuhesabu!
Tanzania hakuna Kitu inje ya Dar ni vichaka tupu. Yani hata kwa barabara na real estate Kisumu inatoa Dar.
 
Safari Ni ndefu sana yani nje ya Nairobi Na Mombasa hakuna Mji wa kushtua kabisa!!
Barabara safi vibanda ndio vingi nyumba za kuhesabu!
Hi picture inaonyesha sehemu kidogo ya town sana sana estates .
Bado hakuna tom Mboya estates na Lolwe ,Migosi,Arina etc ambapo ndiyo karibu 60% of the Kisumu city.
Mwanza hakuna estate kama milimani .
Tanganyika vitu vingi na vya serikali ,private sector kidogo .Estates mbovu na substandard CBD peke yake ndicho kuna vijinyumba vidogo.
Kisumu CBD YAKE inakuwanga kubwa ndyo maana ijajaa sana.
 
Beautiful and clean city.
I actually love cities with few skyscrapers like the old European cities.
They don't look 'artificial'.
 
Back
Top Bottom