The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 669
ipi io ila kwa ushauri usiwe unatumia comment au views za watu kama source ya information utapotea boss like izo screenshot izo n view za mtuKuna hiyo link jaribu kama itafunguka au ukaangalie nilikoitoa
ni view za mtu but na source of information katoa kuna link, ndio maana nilikuambia uingie skyscrapercity utakuta links huko huko, na tayar out of 34km, 1km point something zenyewe tayari zipo zinahesabiwa zitaunganishwa moja kwa moja na daraja ndio zinabaki hizo 32kmipi io ila kwa ushauri usiwe unatumia comment au views za watu kama source ya information utapotea boss like izo screenshot izo n view za mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukiingia kwenye hiyo link utakutana na 👇👇ipi io ila kwa ushauri usiwe unatumia comment au views za watu kama source ya information utapotea boss like izo screenshot izo n view za mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kuna kingine unataka but msaada wangu utaisha hapo kwa hilo nawe kachimbe zaididah boss ayo ni maneno ya watu namaanisha link zinazoeleweka za hiyo 10kms
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatokana na idadi ya junction kwenye barabara husika..
Hujanielewa... Nimesema hivyo nikirefer picha ya cbd yenu...nyie si mna malls nyingi zenye mijengo mizuri.. Mbona sasa cbd yenu local ama hizo malls zote zipo nje ya cbd...?
Sent using Jamii Forums mobile app
I am beginning to think this is chooboy disguised,the thinking,the arguments....leaves you thinking,what part of the body do some people use to reasonYour thinking is very low. Malls should be where people stay, in Kenya we don't stay in CBD like you.
Lake basin mall - Mamboleo (outside CBD)
Mega City mall- Kachok (outside CBD)
United mall- Kibuye( outside CBD)
Sent using Jamii Forums mobile app
junction na traffic ya magariInatokana na idadi ya junction kwenye barabara husika..
Uwe unafuatilia huu Uzi vizuri basi... Hii ndio hasara ya kubeep na kukimbia..
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂hiyo Kisumu yako kalinganishe na Mbeya maana ni ndege wanao fanana, sababu utatusumbua bure tu kutuletea lile daraja mnaloita flyover!Inaonekana Mwanza imeendelea sana. Nilisema siku mtafikia Kisumu kwa road infrastructure nitag, hebu leta barabra za Mwanza tulinganishe na Kisumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna arusha usisahauWatanzania itabidi mumekuja Bench marking Kenya. Kisumu ni ya tatu lakini imeshinda Mwanza mji wa pili Tanzania. Mwanza linganisha na Eldoret[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1147078View attachment 1147081View attachment 1147082View attachment 1147083View attachment 1147085View attachment 1147086View attachment 1147087View attachment 1147088View attachment 1147089View attachment 1147090View attachment 1147091View attachment 1147096View attachment 1147097
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo Kisumu yako kalinganishe na Mbeya maana ni ndege wanao fanana, sababu utatusumbua bure tu kutuletea lile daraja mnaloita flyover!
Mwone idc kisumu na cyo mwanza, nyang'au wwYani jiji la pili kubwa tanzania lina chkazwa na jiji kubwa la tatu kenya...kwel tanzania ni ldc[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Nyie watu wanapokaa si kuna mavumbi tu... Kwa hiyo zipo huko mavumbini... Halafu kumbe mnazo tatu tu.... Mbona list yako uliorodhesha kama kumi hivi.. [Emoji3]…Your thinking is very low. Malls should be where people stay, in Kenya we don't stay in CBD like you.
Lake basin mall - Mamboleo (outside CBD)
Mega City mall- Kachok (outside CBD)
United mall- Kibuye( outside CBD)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwan zote kwa ujumla ni ngapi...
Unaimbaga taarabu tu Mrs halafu nyuzi zikifufuliwa unakimbia...Eldoret iliichapa hii Mwanza hands down
Nyie watu wanapokaa si kuna mavumbi tu... Kwa hiyo zipo huko mavumbini... Halafu kumbe mnazo tatu tu.... Mbona list yako uliorodhesha kama kumi hivi.. [Emoji3]…