Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Mwanza airport road 10+km if I'm not mistaken, kuna ile barabara ya Musoma but three lanes 4km, walichokifanya wakatengeneza optional roads buzuruga through Nyansaka inakoishia sijui wa mwanza watusaidie, buzuruga - national via mecco km? , Usagara - kisesa and now construction of 34km Four lanes from town to Kigongo, kwa zile 10+km from Kigongo to usagara tayari watu washalipwa kupisha ujenzi ili kuunga hadi daraja jipya la Kigongo Busisi, ndio ninavyofahamu kwa sasa otherwise mtu anayejua zaidi aseme
ni 10.7 au 11.7 mwanza airport ila hio ya 32km hamna nimejaribu kuangalia kadri niwezavyo ila haipo na hio ya 6 ways ungeweza nithibitisha izo km na pia arusha 8.7 km from tengeru to usa dual carriage inaanza ujenzi muda wowote huu mwaka chini ya jica na usisahau iliyopo aulmost km 8 za tengeru to sakina inapitisha gari nane ukijumlisha na service road

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye taa za usiku hata usiongelee maana almost barabara zote za mji ziko na taa na barabara za mwanza jiji in terms of Km zinazidi arusha mbali tu
leta izo km na mm ntakuletea km afu sijakuuliza barabara hapana hapa naongelea road furniture za barabara ya airport iliyopanuliwa na pia arusha taa zipo nyingi mnoo ilatatizo haziwaki na hajanijibu io dual carriage ya mbeya ina junction ngapi zenye traffic light mbona simple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni 10.7 au 11.7 mwanza airport ila hio ya 32km hamna nimejaribu kuangalia kadri niwezavyo ila haipo na hio ya 6 ways ungeweza nithibitisha izo km na pia arusha 8.7 km from tengeru to usa dual carriage inaanza ujenzi muda wowote huu mwaka chini ya jica na usisahau iliyopo aulmost km 8 za tengeru to sakina inapitisha gari nane ukijumlisha na service road

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia kwenye master plan yao naona dual carriageway wanataka kuweka BRT, hiyo ya four lanes 10+km kigongo - usagara ndio ninayo uhakika sababu kuna wadau wangu huko walisema wameshalipwa kupisha ujenzi, kama itaenda hadi mjini kutokea usagara ndio zinaweza kuwa hizo 32+km nazani, sababu BRT sijajua itaishia wapi,
 
leta izo km na mm ntakuletea km afu sijakuuliza barabara hapana hapa naongelea road furniture za barabara ya airport iliyopanuliwa na pia arusha taa zipo nyingi mnoo ilatatizo haziwaki na hajanijibu io dual carriage ya mbeya ina junction ngapi zenye traffic light mbona simple

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya tena 😀😀, kwa traffic lights Mwanza wana Pedestrian bridges vitu vinavyo patikana Dar na Mwanza tu kwa hapa bongo, instead of traffic lights ambazo huongeza jam tu
 
Nimeangalia kwenye master plan yao naona dual carriageway wanataka kuweka BRT, hiyo ya four lanes 10+km kigongo - usagara ndio ninayo uhakika sababu kuna wadau wangu huko walisema wameshalipwa kupisha ujenzi, kama itaenda hadi mjini kutokea usagara ndio zinaweza kuwa hizo 32+km nazani, sababu BRT sijajua itaishia wapi,
unaweza nipa link ya hizi detail maana hayo n maneno mwanzo kwenye plan 2035 mwanza ndio kuna brt ila io uliskia na mm nikisema niliyosikia hapatatosha ila yote nliyosema yako verfied mimi napenda majiji yote mawili na nnafatilia miji yoye ivo siongei kwa.ushabaki mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya tena [emoji3][emoji3], kwa traffic lights Mwanza wana Pedestrian bridges vitu vinavyo patikana Dar na Mwanza tu kwa hapa bongo, instead of traffic lights ambazo huongeza jam tu
hahaha sorry mkuu nilimaanishi arusha sio mbeya kuhusu pedestrian bridge dodoma zinajengwa 6 ziko zinamaliziwa je ina maana dodoma imepiku mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaweza nipa link ya hizi detail maana hayo n mwanene mwanzo kwenye plan 2035 ndio kuna brt ila io uliskia na mm nikisema niliyosikia hapatatosha ila yote nliyosema yako verfies mimi napenda majiji yote mawili na nnafatilia miji yoye ivo siongei kwa.ushabaki mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uje ujaribu kucheki Mwanza projects under construction skyscrapercity ukikuta utapata link yenye Kigongo - Busisi bridge naona kuna watu huwa wanaweka taarifa kule kutoka source zenye kuaminika
 
hahaha sorry mkuu nilimaanishi arusha sio mbeya kuhusu pedestrian bridge dodoma zinajengwa 6 ziko zinamaliziwa je ina maana dodoma imepiku mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuipe muda inaweza piku zote mwanza na arusha, but arusha itakuwa ya kwanza kupikuliwa navyohisi, kumbuka hata kwenye kutofautisha ukubwa wa miji criteria ya kwanza huwa ni population hiyo ni worldwide, sasa Dodoma na Arusha zilikuwa na tofauti ndogo sana
 
Tuipe muda inaweza piku zote mwanza na arusha, but arusha itakuwa ya kwanza kupikuliwa navyohisi
mkuu arusha 18+ tower inajengwa arusha kuna 8.7km mpya inajengwa mkuu arusha kisongo by pass inajengwa mkuu mianzini to ngaramtoni inajengwa 18km na usisahau sgr musoma arusha to dar soon inaanza na longest by pass au tunaita road ya kuroll na ndinga km 42.4 iko arusha dodoma nimetoka hata wiki haijaisha ila kwa kweli kumepangika sio poa ila kuipikua arusha au mwanza io ni ndoto ya usiku na usisahau more than 12+ plus tower zina karibia 10 achana na 10+ ila Dodoma wanaweza weka unigue kivyake ila arusha au mwanza kupitwa na dodoma io hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni zaidi...
Halafu usichokijua ni kuwa the hotel was upgraded...

Tuyaache haya....
angalia kwenye picha kwenye Hotel class kuna nyota 4! Unless una utaahira wa kutoelewa hata picha! More evidence! BTW it is the only 4 star hotel in Mwanza!

View attachment 1318772

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2020-01-10-22-24-56.png
    Screenshot_2020-01-10-22-24-56.png
    57.5 KB · Views: 2
nani kakuambia mi mtu wa Arusha mbona naitetea Mwanza kwenye ukweli! Tatizo ni kwamba mmezuka watu wa misifa mnapotosha sasa! Mnakuwa kama Wakenya wa Kisumu!
Karibu utembelee mwanza mzee.... Usafishe japo macho
 
Yeah ila bridge unajenga kwa kwa span life ya 100 years ivo sehemu ya daraja lazima iwe pana ila haimanishi Barbara mlisho lazima ziwe dual carriage mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema ambacho nina uhakika nacho ni zile 10+km kigongo - usagara kwani tayari wenye nyumba kando kando washapewa Chao kupisha, sijaona logic kama zitaishia usagara zisiende town
 
Back
Top Bottom