Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana grading ina classification zake na usichanganye grading and rating! East Africa kuna institution ina oversee hotel grading using international classifications si kujiamulia tu! NSSF hotel ikikamilika ndo itakuwa 5 star kutakana na standards zinazotumika kuijenga!Dah Geza hizo nyota si zinatokana na watu wanavyorate na reviews... Kuna wengine wataipa excellent..,wengine very good nk...Angalia tena hiyo screenshot yangu utaona average rating ilikuwa 4.5 hata yako pia... Kwan we hujawahi kutumia kitu wakakuambia ukirate;apps, huduma nk....hivyo hizo nyota hazina uhusiano sana.... Malaika ni five star jomba... Hata hapo juu wamekuonyesha... Au leta current data inayosema malaika ni four star...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu 7 Mwanza 2-3rd largest vs 2nd largest
Kisumu tulishaipiga zamani sana watu mmerudi tena kwenye malls baada ya hali kuwa tete wakati tulishayajadili mwanzoni kabisa... Mkitoka hapa mtaleta mi-fly over yenu mibaya inayofanana na daraja halafu mtaishia hapo.. Hahahh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana grading ina classification zake na usichanganye grading and rating! East Africa kuna institution ina oversee hotel grading using international classifications si kujiamulia tu! NSSF hotel ikikamilika ndo itakuwa 5 star kutakana na standards zinazotumika kuijenga!
Si wewe ndio umesema hapo ni CBD? Ama akili ndio imechanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Nani kasema hiyo ni cbd... Si mlishaweka humu cbd zenu tukaona ni local...Au malls zenu zote zipo nje ya cbd
Sent using Jamii Forums mobile app
Mumetupigia wapi na kisumu iliwagonga sector zote[emoji116][emoji116][emoji116]
Real Estate- Kisumu
Malls- Kisumu
Roads- Kisumu
Airport - Kisumu... etc
Tourism - Kisumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wewe ndio umesema hapo ni CBD? Ama akili ndio imechanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Malaika beach resort is a 5 star hotel.Hata kama unawachukia usiwe hivyo.Umeelewa nn hizo hoteli hapo! Mwanza haina 5 star hotel kama picha inavYoon yesha!
kwa standard za Mwanza si za Tanzania!Malaika beach resort is a 5 star hotel.Hata kama unawachukia usiwe hivyo.
Mwanza ni Kenya?kwa standard za Mwanza si za Tanzania!
mwanza haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa mpaka NSSF building ikikamilika! Muache mambo ya ajabu 5 star si mchezo hebu pitieni Rotana halafu mfananishe na Malaika beach resort!Kulinganisha mwanza na arusha upande wa hotels mnakosea sana... Mwanza ina nyota tano moja wakati arusha ina nne.. Labda nssf ikikamilika zitakuwa mbili.Hii inatokana na arusha kuwa kama kitovu cha utalii. Hivyo hoteli kubwakubwa ni muhimu..
Tukija upande wa pili wa shilingi, kiuchumi na maendeleo,arusha lags behind... Tukizungumza hivyo tunamaanisha miundombinu,hali ya usafiri,mzunguko mzuri wa biashara,kuchangamka kwa mji na hata viwanja vya burudani.... Hiyo tathmini yangu.. And that's all.
Have you ever stayed in that hotel and when?mwanza haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa mpaka NSSF building ikikamilika! Muache mambo ya ajabu 5 star si mchezo hebu pitieni Rotana halafu mfananishe na Malaika beach resort!
Have you ever stayed in that hotel and when?
hapana rate za kusema hii ni 5 star au 4 star zinanamna ya kutolewa sio izo rate za watu kazaa hapanaDah Geza hizo nyota si zinatokana na watu wanavyorate na reviews... Kuna wengine wataipa excellent..,wengine very good nk...Angalia tena hiyo screenshot yangu utaona average rating ilikuwa 4.5 hata yako pia... Kwan we hujawahi kutumia kitu wakakuambia ukirate;apps, huduma nk....hivyo hizo nyota hazina uhusiano sana.... Malaika ni five star jomba... Hata hapo juu wamekuonyesha... Au leta current data inayosema malaika ni four star...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe itabidi utembelee mwanza, watu wa arusha ambao hawajawahi fika Mwanza siku zote wata kuambia baada ya dar ni arusha sababu kwa ukanda wa pwani hakuna mji unaozidi arusha, lakini kwa sisi tuliotembelea miji yote hiyo mitatu at least we can differentiate the two cities without bias. Otherwise unalinganisha mkoa wa mwanza vs arusha na sio jiji la Mwanza vs jiji la Arushamwanza haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa mpaka NSSF building ikikamilika! Muache mambo ya ajabu 5 star si mchezo hebu pitieni Rotana halafu mfananishe na Malaika beach resort!
nani kakuambia mi mtu wa Arusha mbona naitetea Mwanza kwenye ukweli! Tatizo ni kwamba mmezuka watu wa misifa mnapotosha sasa! Mnakuwa kama Wakenya wa Kisumu!Wewe itabidi utembelee mwanza, watu wa arusha ambao hawajawahi fika Mwanza siku zote wata kuambia baada ya dar ni arusha sababu kwa ukanda wa pwani hakuna mji unaozidi arusha, lakini kwa sisi tuliotembelea miji yote hiyo mitatu at least we can differentiate the two cities without bias. Otherwise unalinganisha mkoa wa mwanza vs arusha na sio jiji la Mwanza vs jiji la Arusha
Mwanza soon watakuwa na sehemu itakayokuwa imenjengeka like the great Kariako