Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

I can't argue with you but you to know that Rock city can't make top ten biggest malls in Kenya.
Yaani unaleta link ya habar iliyotoka kabla mall haijajengwa... Kumbe ww ni fool kiasi hiki... Mimi nimekuletea taarifa iliyotoka baada ya mall kukamilika wewe unaleta 'Mwanza city to have____'. Gedheri ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok, siezibishana na wewe juu hujui anything in terms of malls. This is Lake Basin Mall in Kisumu. Twice the size of Rock City Mall.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumia adzangamika yuyo...
Bhe kasikira mautu ga walevu, adzakala ana vilalu iye...
(Kigiri nko poa pia teargas..mijikenda hawanisengenyi)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20200211-195217_Samsung%20Internet~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Understand him because he lives in a zoo nation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani jamaa yupo yupo tu walai, kisha ywajikuta anaandika point balaa..hawa ni wale kijiweni wanaonekana wamesoma hatari, basi njoo kuwapoteza wenzao..[emoji1787][emoji1787]
Nawaonea huruma wafuasi wa huyu jamaa, atakua anazidi kuwapoteza kwenye ramani ya dunia walai manake sio kw mafunzo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom