Kisumu vs Mwanza

I can't argue with you but you to know that Rock city can't make top ten biggest malls in Kenya.
Yaani unaleta link ya habar iliyotoka kabla mall haijajengwa... Kumbe ww ni fool kiasi hiki... Mimi nimekuletea taarifa iliyotoka baada ya mall kukamilika wewe unaleta 'Mwanza city to have____'. Gedheri ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Understand him because he lives in a zoo nation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani jamaa yupo yupo tu walai, kisha ywajikuta anaandika point balaa..hawa ni wale kijiweni wanaonekana wamesoma hatari, basi njoo kuwapoteza wenzao..[emoji1787][emoji1787]
Nawaonea huruma wafuasi wa huyu jamaa, atakua anazidi kuwapoteza kwenye ramani ya dunia walai manake sio kw mafunzo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…