Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Construction of an Interchange in Mwanza city is loading....

img-20210115-wa0002-jpg.968539

CC: Tony254
Why use Uganda's entebe's expressway picture[emoji28][emoji23], wangeweka tu render
 
What is problem if Mwanza city is constructing the expressway like entebe's expresssway??
 
Construction of an Interchange in Mwanza city is loading....

img-20210115-wa0002-jpg.968539

CC: Tony254
porojo za siasa hizo mkuu,Dar tuu haina interchange kali kama hii sembuse Mwanza maana pale Ubungo ilifaa ijengwe interchange ya kisasa kama hiyo render wakaishia kujenga msalaba ambao bado unatumia traffic lights,mda utaamua
 
kwahiyo daraja la $300 mln lijengwe halafu highway ishindikane?
 
porojo za siasa hizo mkuu,Dar tuu haina interchange kali kama hii sembuse Mwanza maana pale Ubungo ilifaa ijengwe interchange ya kisasa kama hiyo render wakaishia kujenga msalaba ambao bado unatumia traffic lights,mda utaamua
Wivu utakuuwa Mwanza hiyo kitu inajengwa na Daraja refu kuliko yote afrika mashariki linajengwa kama hautaki kajinyonge.😂😂😂😂
 
porojo za siasa hizo mkuu,Dar tuu haina interchange kali kama hii sembuse Mwanza maana pale Ubungo ilifaa ijengwe interchange ya kisasa kama hiyo render wakaishia kujenga msalaba ambao bado unatumia traffic lights,mda utaamua
Tony254 kuja huku[emoji1787][emoji1787]
Jamaa leo wamekubali km ubungo ni msalaba like interchange
 
Tz inawaumisha vichwa kiasi hicho ???😂😂😂😂😂iwe msalaba iwe rozari tz tunajenga tu😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom